Jaman msaada tatizo LA stroke ilisababishwa na mishipa ya damu kubilia damu na kuvujia please

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
625
302
Wadau tatizo LA stroke limekuwa kama LA kawaida, pressure inakuwa kubwa hadi kupasua mishipa au kusababisha kuvilia damu!!!mama angu kakumbwa na shida hiyo,je kuna dawa ya kuponyesha tatizo hilo,dawa I we ya wazungu waarabu hata ya kienyeji,what I want mama angu apone
 
Hiyo ni new Stroke au Old Stroke?
Ulifanya CT scan kudhibitisha damu ilivilia kwenye Ubongo?
Ushauri ntakupa ukishanijibu hayo maswali!
 
Hiyo ni new Stroke au Old Stroke?
Ulifanya CT scan kudhibitisha damu ilivilia kwenye Ubongo?
Ushauri ntakupa ukishanijibu hayo maswali!
Mimi baba yangu ana Old Stroke ameparalize upande wa kushoto mguu na mkono tangu disemba 2017, na tulikaa Hosp siku 26. Sasa hivi tunahudhuria hosp kila mwezi kwa check up na kupata dawa za BP.

Mguu wa kushoto walao umeanza kusense na kutikisika tofauti na mkono ambao hadi Leo hawezi kuinua. Hospital tunahimizwa mazoezi na akiwa wodini tulifundishwa jinsi ya kumfanyisha mazoezi kwani wiki Moja kabla hatujaruhusiwa tuliattend physiotherapy.

Ni nusu mwaka sasa baba hatembei tumejaribu dawa za tiba mbadala pia lakini recovery yake ni very slow stroke ilimwathiri sana had ubongo mana anapoteza sana kumbukumbu. Ushauri wa kitaalamu mkuu au kwa yeyote mwenye kujua hili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom