Hello

codifier

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
320
500
Kama we ni men!
Piga machine kwa Sana zitaisha Ila kama ww ni she pigwa miti kwa Sana zitaisha tu.
Hilo ni dalili la genye kuzidi
 

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,667
2,000
Tuma picha tuone kama ni Acne Vulgaris au Acne Conglobata.

Dawa zipo zaki hospitali e.g Hydrogen Peroxide Ointment na ukiweza pata topical antibiotic ya jamii ya tetracycline.

Kuna nyingine dawa ya tatu kama chunisi ni extensive ila sasa inaitaji Umakini maana kama wee ni mdada na unategemea kujifungua siku za karibuni inaweza athiri mwanao!
Naomba mnisaidie dawa ya chunis
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom