Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ukimwi kwa njia ya ngono bila condoms unaambukizwa kwa shahawa/ute wa mwanamke au damu kupitia michubuko?
0 Reactions
109 Replies
15K Views
Faida ya Afya ya Kula Pilipili Japokuwa Pilipili inaliwa na watu wa jamii mbalimbali, watu wengi hawazijui faida ya kiafya za kula pilipili. Kwenye pilipili kuna kemikali iitwayo Capsaicin...
3 Reactions
187 Replies
155K Views
Habari wana JF, Mimi ni mpiga punyeto maarufu sana. Lakini punyeto yangu ipo hivi huwa nanunua condom alafu natoboa godoro alafu naweka maji kwenye tundu la godoro then napaka sabuni naanza...
13 Reactions
152 Replies
29K Views
Wakuu naandika huu uzi nikiwa na majonzi makubwa sana, naomba niende moja kwa moja kwenye mada mwezi wa 8 tarehe 15 mke wangu alijifungua kwa shida sana katika hospitali ya serikali kwa njia ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari JF Doctor. Kuna sababu nyingi za kuzaa mtoto mlemavu, za kiimani (MUNGU ndiyo mpangaji wa yote), kitamaduni (umerogwa, bahati mbaya) na sababu nyingine nyingi. Mimi ninahitaji...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Naombeni majibu wataalam wa afya
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu, Mimi kuna tatizo linanisumbua kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka miwili, yaani nahisi homa kali, nawashwa kuanzia kifuani mpaka miguuni. Nimeenda hospitali nimepima...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba kuuliza nikisoma ukunga naweza kuwa daktari wa uzazi?
1 Reactions
0 Replies
885 Views
Sikio langu moja la upande wa kulia linatoa saut fulan ivi zinaninyima aman si mchana wala usiku saut haziishi Nipo njombe nauliza kama kuna hospital nzuri ya maskio maana ni mwez sasa umepita...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Miaka yote nilikua nikivaa nguo , uume unakaa upande wa kushoto, sasa nashangaa kama wiki tatu hivi automatically unakaa upande wa kuliaa, Msaada
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Nilikuwa ninatembea kama sehemu ya mazoezi ya asubuhi, nilikutana na mama mmoja umri waka utakuwa 50+. Tulisalimiana na alinieleza kuwa haamini kuwa ametembea mwendo wa mrefu vile. Aliniekeza...
13 Reactions
28 Replies
3K Views
Homa ya mapafu ni aina ya maambukizi yanayoathiri mapafu. Ni ugonjwa ambao unaua watoto wengi hasa katika nchi zinazoendelea duniani. Inakadiriwa kwamba watoto karibu milioni 1.6 walio chini ya...
1 Reactions
5 Replies
17K Views
Wanajopo habari za muda huu. Naomba yeyote ambae anafahamu ambapo naweza kumpata daktari mtaalamu wa maswala ya uzazi na magonjwa ya kinamama basi anisaidie kwakuniconnect nae,nina private shida...
1 Reactions
21 Replies
19K Views
Kitaalam sijui inaitwaje. Ila ni ngozi kuota vijinyama kama chuchu. Umri wangu 42 tangu vimeanza kutokeza ni zaidi ya miaka 7 iliyopita. Ila naona kama vinazidi na kukua pia. Pia nina kijana...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF? Aisee kuna vitu binadamu inabidi tumwachie Mwenyezi Mungu tu jamani. Niliooana na mke wangu 2013 na mwaka huo huo Septemba mimba ikatoka ya miezi mitano mtoto wa kiume...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau wa jf Dr Niko Arusha nahitaji kufanya vipimo vya tumbo nauliza hospital ya Mount meru iko vizuri kwa vipimo hivyo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF siku tano zilizopita kuna kitu kilinichekesha sana nilicheka mno adi nikahisi nguvu zimeniishia baadae nikaanza kuhisi kama chembe inaniuma upande wa kulia ndani ya kifua changu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lakini doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo' kwahiyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu.. Poleni na kazi.. Samahani sana kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ninepata ajali ambayo imepelekea kutoa meno 2 ya mbili kulia na kushoto wanayaita chonge nazani kila upande.. Sasa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu! Nina tabia ya kunyonya matiti wakati wa kujaminiana tena hupenda kuzing'ata ng'ata chuchu hivii kwa mtindo wa kumtekenya mwenzi wangu wakati wa kumuandaa. Japokua niko...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…