Uume wangu umebadilika

Uume wangu umebadilika

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,559
Reaction score
3,810
Miaka yote nilikua nikivaa nguo , uume unakaa upande wa kushoto, sasa nashangaa kama wiki tatu hivi automatically unakaa upande wa kuliaa,
Msaada
 
Fanya hivi nenda kwa fundi chuma mwambie achomelee chuma kwenye kende moja kishaaunge kwenye kichwa cha uume utakuwa unasimama wima tu mkuu badala ya kupindia ovyoovyo
 
Jamaani Neiba hivyo ndio kashakuwa mwenzangu lol.

Mie hata sijui kitu Neiba ye asubiri wataalam waje tu kwa kweli. [emoji3][emoji3]
Watalam ndio nyinyi... Au hukupewa talanta hiyo??? Jiran

Ur missed
 
Hahahaaa. Mie nimeukosa huo jiran.

Nipo jirani mishe tu na kuparangana na maisha ndio kunasababisha tuwe adimu.
He hee usiadimike hivyo saaana.

Ngoja tuendelee kusubiri wajuzi waje.
 
Back
Top Bottom