Hivi kipi kati ya haya ni upungufu wa nguvu za kiume?
1. Kuwahi kumwaga
2. Kutodinda
3. Kutokuwa uwezo wa kurudia tendo
4. Kutokuwa na uwezo wa kutungisha. mimba.
WanaJF naombeni mnisaidie hapo...
Huwa najishangaa sana hasa kwa upande wa vyakula,mboga na matunda
Nikianza na chakula chochote kitakachopikwa huwa nakula sina kile chakula ambacho lazima nikipate au nile ndipo nafsi yangu...
Wavutaji sigara hupata magonjwa ya macho mara nyingi kuliko wasiovuta. Sehemu ya macho inayopitisha mwangaza inaweza kufichwa kama vile wingu linavyoficha jua(yaani kwa ikimombo) na kusababisha...
Habari zenu Jf-doctors,.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,.
Miaka miwili nilikuwa mpenzi mzuri wa mazoezi hasa wa kuinua vyuma vizito lakini kutokana na majukumu yalivyokuwa...
Assalam wakuu
kuna Mtanzania kazaliwa vyema tu ila baada ya kudondoka kitovu alisafirishwa toka mkoa mmoja hadi mwingine akiwa na mama yake lengo ni mamamtu apate huduma baada ya uzazi.
safari yao...
Wataalamu
Salaam;
Kuna Binti ni mfanyakazi wangu hapa dukani kwangu. Jana kanieleza kitu cha kustua kidogo,anasema,tangu mwezi wa 6 hakubleed na akawa na dalili zote za mimba. Kuchoka,kutapika nk...
Kutokana na kuongeza kwa tatizo hili la Shinikizo kubwa la Nyege Mwilini katika jamii zetu niliamua kufanya Utafiti ili kujua Nini Chanzo,Madhara na tiba yake.
Utafiti huu ni kama ufutavyo
(A)...
Wakuu habari kwema!
Nina mdogo wangu wakiume anamiaka 25 ana mchumba wake kampa mimba sasa huyu mchumba wa mdogo wangu shemeji yangu ana mimba ya miezi 2 yeye aba miaka 22 inamsumbua sana yani...
Tatizo la kufanya kuvimba upande mmoja wa sehemu ya chini ya kichwa cha uume baada kumaliza tendo yani kukojoa kwa muda wa madakika kadhaa alafu ndio hali hurudi linaweza kutokana nanini?
Limekua...
Wakuu , Katika kupekua pekua kwangu nimekikuta kitabu hiki mahali fulani.
Nikaona nijaribu kuwaletea wanajamii forums , huenda kitakusaidia kwa namna fulani .
Na kwa yeyote mwenye kitabu...
Ndugu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye jambo husika lililonileta kwenu.
Ni kwamba mwanzoni mwa mwaka Jana kuna ndugu yangu aliungua ugonjwa wa uti wa mgongo tukampeleka hosipitali...
habarini za jioni!
naomba ufafanuzi wa matumizi ya dawa za neurobine na multivitamins kwa mtu mzima na mama anayenyonyesha. prescriptions za daktari zimenichanganya mana aliniambia aliconiambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.