Daktari bingwa wa uzazi na magonjwa ya kinamama

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
617
487
Wanajopo habari za muda huu. Naomba yeyote ambae anafahamu ambapo naweza kumpata daktari mtaalamu wa maswala ya uzazi na magonjwa ya kinamama basi anisaidie kwakuniconnect nae,nina private shida jamani

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hospital karibu zote wapo mkuu,ni wewe kwenda na kuwaona private.
 
Nenda Agha khani kwa Dr Kaguta, Msasani Peninsula kwa Dr Shafiq, Rabinsia memorial kwa Dr Kash, hao ni baadhi ya ma best gyno hapa Daslam, all the best

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Tarimo yupo muhimbili. Very down to earth. Nadhani yeye ndiye kiongozi wa magyana pale muhimbili.

Hutajuta kuhudumiwa na yeye, japo sijui clinic zake anafanyia wapi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom