Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari za Mida Wakuu. Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo ( yaani Kama kunakitu kimeganda) Sipati maumivu yoyoe wakati wa kula, Nameza vizuri tu...
3 Reactions
82 Replies
3K Views
Naombwa kujuzwa kisayansi hii imekaaje mpaka kisimi/ kinembe kinakuwa na sexual arousal kubwa? Na hasa unapokisugua na kichwa cha uume? Tafadhali tusaidiane kisayansi ili tudumishe mahusiano yetu.
5 Reactions
16 Replies
14K Views
Habari za muda huu wakuu! Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna imani potofu kuwa kutahiri mtoto akiwa mdogo husababisha uume kuwa mdogo ukubwani, au kwamba ukichelewesha, uume utakua zaidi, hii si kweli. Nchi kama Marekani yenye watu wa asili nyingi na...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Napata wapi dawa za kuongeza uboho? Asanteni.
3 Reactions
89 Replies
3K Views
Kumekua na Changamoto mbalimbali zitokanazo na matumizi ya dawa kwa watu mbalimbali,wengine hujihisi kuwashwa mara baada ya kutumia dawa fulani ,wengine hujihisi kuchoka mara baada ya kutumia dawa...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
1. Drink water this morning. Your kidneys will thank you. 2. Eat at least an egg today. Your brain will thank you. 3. Exercise for at least 30 minutes today or take a long walk. Your heart will...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Na Gladness Mallya Msanii bonge wa filamu Bongo ambaye hivi karibuni alieleza kusumbuliwa na tumbo chini ya kitovu (chango), Efrancyia Mangii ameshauriwa kufanya jitihada za kuzaa ili kuepukana...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Unaweza ku imagine kuishi huku unajua kuna funza wapo hai ndani kabisa ya sikio lako, na wanapata chakula, hewa na mahitaji yote wanayohitaji ili kuishi. Ufahamu ugonjwa wa OTOMYIASIS...
3 Reactions
9 Replies
607 Views
🧠 Elimu ya Afya Leo: AFYA YA AKILI (Mental Health) 📲 IG: @hillary_officialtz ❓ AFYA YA AKILI NI NINI HASA? Fikiria afya ya akili kama utulivu wa nafsi. Ni uwezo wako wa ndani wa kukabiliana na...
0 Reactions
2 Replies
377 Views
Kwa mara ya kwanza, dunia imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya malaria baada ya kuidhinishwa kwa tiba maalum ya malaria kwa watoto wachanga na wadogo wenye uzito wa chini ya kilo 4.5...
3 Reactions
1 Replies
674 Views
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya...
90 Reactions
590 Replies
39K Views
Wakuu nauliza vitafunwa vipi sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo,atumie vitanwa Gani kwa ajili ya chai
1 Reactions
17 Replies
635 Views
🩺 ELIMU YA AFYA KWA JAMII: KISUKARI (DIABETES) 📲 IG: @hillary_officialtz 1. KISUKARI NI NINI? Fikiria mwili wako kama gari linalohitaji mafuta (sukari kutoka kwenye chakula) ili liweze...
0 Reactions
2 Replies
741 Views
Habar wakuu wapi ntapata daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama kwa Dar iwe private au Serikali Mke wangu anatatizo tangu wakat wa mimba yamtoto wetu wa tatu,alikua anapata maumivu ya tumbo...
0 Reactions
7 Replies
610 Views
Mwanamke kutopata ule ute ute hali hii inatokana na nini maana mimi huwa siupati hata nikikaribia ovulation siupati kabisa naombeni munisaidie kama kuna uwezekano hata wa kutumia dawa nami...
1 Reactions
103 Replies
73K Views
Habar wakuu nimekua nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo mda Sasa tangu 2019 nilipima mpaka endoscopy nkaonekana na vitatu vidonda na acid,,nimetumia dawa za hospital kila aina Bado msaada wenu wa...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Shida ya kulala mchana,hata kama ulilala vizuri usiku,unakuta mtu hata afanyaje anashindwa kujizuia kulala, inawapata asilimia chache ya watu Duniani,zaidi unawakumba wanawake, kwa kitaalamu...
1 Reactions
0 Replies
440 Views
Habari wakuu. Kuna yeyote anajua wapi naweza kupata huduma ya clinic ya wachina Dar es salaam. Anaefahamu please naomba aniambie mahali ilipo. Asanteni
0 Reactions
10 Replies
48K Views
Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…