Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hello wakuu, tafadhali kwa yeyote anaejua wapi naweza kupata huduma ya clinic ya wachina na acupuncture. Naomba anisaidie maelekezo ya mahali ilipo na huduma zao hasa magonjwa ya kina mama. Msaada...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana JF nmekua nikisumbuliwa na tatizo la tumbo tangu 2005, tumbo limekua likiniuma kwa maumivu makali sana kwa nyakati tofauti. VIPIMO/ TIBA Nmepima vipimo mbalimbali katika...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Sio fangus, hii kucha inachomoza ikiwa hivyo inavyoonekana. Mara nyingi ni kidole gumba na hiki cha kati. Pia mguu wa kulia kidole cha kati huwa kinapata hili tatizo japo kwa sasa halipo. Kuna...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
1 .Sifa awe na diploma au cheti cha elimu ya maabara za binadamu. 2 .Awe (full registered )atambulike na bodi ya maabara. Kituo kipo Tunduru, Ruvuma
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kizuri kula na nduguyo Wangapi mmepata chanjo? Na kwa ambao hamjapata mnajua hili swala?
3 Reactions
72 Replies
8K Views
bofya link[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] link hapo juu kuangalia video na kujifunza kuhusiana na ganzi miguuni na maumivu ya mgongo usisahau kusubscribe kwenye channel ya physioplus_dar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jee kuishi na maambikizi ya tetenus kwa zaidi ya miaka miwili
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bango linajieleza wadau napenda sana kahawa hasa ya kienyeji nikishakunywa tu hapakaliki home wife sometimes akiona nakunywa anasepa kokote. Kinachotokea nakosa subira no excuse hapakaliki hii ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ilianza kama utani tu nikiwa nimekaa mwenyewe chumbani kwangu wakati nimeingia kwenye mitandao ya kijamii kuchati na kusoma yanayoendelea humo, ila baada ya muda nikaona mbona hamna jipya humo...
5 Reactions
49 Replies
15K Views
Jana niliweka topic hapa inayohusu chanjo ya Hepatitis B. Maswali yamekuwa mengi PM na mimi muda wa kumjibu kila mtu sina wakuu. Basi naomba niweke majibu hapa japo wenzangu watajazia. Hepatitis...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Naombeni kwa mwenye uelewa anisaidie.nateseka sana kuna muda vinawasha sana. Nimeenda hospitali mara kadhaa ila bado sijapata nafuu.mnisaidie ndugu zangu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nililazimika kumsindikiza mke wangu hospital kupima mimba kwa ultrasound. Alipohudhuria clinic Mara ya mwisho nurse alisema mke wangu anaongezeka kilo kwa kasi sana, na Umri wa mimba hauendani...
1 Reactions
40 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Muamini au msiamini mimi nilikuwa muhanga wa punyeto na kupungiwa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Lakini kuna thread mbili zilikuja humu moja ni kuhusu kitunguu maji, mkaa, mkate na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari Wana JF. Kwa majina naitwa Sara... wiki Mbili zilizopita... yaani tar 21 Niliingia kwenye Mzunguko wangu wa hedhi kama kawaida, na Huu mzunguko haujawah yumba uko Constant... Tarehe 27...
0 Reactions
85 Replies
14K Views
Wakuu salaam Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Naomba kuuliza Hospitali gani nzuri kwa kupima magonjwa ya tumbo kati ya IKONDA na zile za Dar es slaam kama vile Regency, TMJ...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu, naomba kuuliza dawa za UTI zinaweza kubadili MP, maana huyu mke wangu aliugua UTI akatumia dawa mwezi wa nane tarehe 10, akatumia amoxyclav, sasa alitakiwa aingie MP tarehe 24/08/2019 na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamii Nmeanziasha uzi huu mahususi kabisa kwa mafund sanifu wa vipimo vya magonjwa ya binadamu. Hawa wanapatikana kitengo cha maabara ukienda hospital Ni watu muhimu ingawa jamii...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
NJIA ASILI YA KUPUNGUZA UKUBWA WA MIKONO,MATITI NA TUMBO [emoji522]Tangawizi na limao ni viungo vinavyoaminika ktk kukausha mafuta na kuyeyusha mafuta mwilini [emoji522]Leo tutavitumia viungo hivi...
3 Reactions
30 Replies
86K Views
Hello Jf ARV stand for Anti retroviral and literally mean drugs against HIV that cause human immunodeficency syndrome (AIDS) The following are know benefits of using ARV 1:It reduce the HIV...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Wakuu na wataalamu, Je Mwanamke ambae amekuwa akishiriki anal sex na mpenzi wake, Je anaweza shindwa kujifungua? Je anal sex inaweza msababisha akashindwa kusukuma mtoto? Wataalam na wanawake...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Back
Top Bottom