HOSPITALI NZURI KUPIMA MAGONJWA YA TUMBO

GUI

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,847
1,299
Wakuu salaam
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.
Naomba kuuliza Hospitali gani nzuri kwa kupima magonjwa ya tumbo kati ya IKONDA na zile za Dar es slaam kama vile Regency, TMJ, KAIRUKI na zinginezo?
Nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo kwa mda wa miezi kazaa sasa na kuhangaika kwenye hizi hospital za kawaida bila mafanikio, ndio maana nimeomba mwenye kujua anijuze ili niweze kwenda kufanya uchunguzi zaidi huko!!!
Natanguliza shukurani za dhati kwenu!!!
 
Nenda Nairobi hakuna magumashi kama hapa,niliumwa tumbo hapa wakaniambia pale regency eti Nina mawe tumbuni kwenda Nairobi wakapima wakakita utumbo kama umejikunga kimtindo,kutibiwa wiki moja naruhusiwa moka Leo cna hamu na usanii was hospitali zetu hizi
 
Mkuu hapa sasa umenitisha maana kwenda Nairobi sio mchezo
 
Sorry ndugu Ila hapa wanamatatizo ya kutufanya mitaji ya vipimo,wanaweza kukubambikia kabsa kitu usichoumwa,nakuambia kwa uzoefu kabsa nilisumbuliwa sana ndugu,kwel ni gharama kiasi lakin hawana usanii kama hapa kwetu
 
Sawa mkuu ntakufata pm tuongee zaidi
 
Nenda Nairobi hakuna magumashi kama hapa,niliumwa tumbo hapa wakaniambia pale regency eti Nina mawe tumbuni kwenda Nairobi wakapima wakakita utumbo kama umejikunga kimtindo,kutibiwa wiki moja naruhusiwa moka Leo cna hamu na usanii was hospitali zetu hizi
Hivi kuna procedure gani unatakiwa kufuata kwenda kutibiwa nje ya nchi kama Nairobi
 
Wakuu salaam
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.
Naomba kuuliza Hospitali gani nzuri kwa kupima magonjwa ya tumbo kati ya IKONDA na zile za Dar es slaam kama vile Regency, TMJ, KAIRUKI na zinginezo?
Nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo kwa mda wa miezi kazaa sasa na kuhangaika kwenye hizi hospital za kawaida bila mafanikio, ndio maana nimeomba mwenye kujua anijuze ili niweze kwenda kufanya uchunguzi zaidi huko!!!
Natanguliza shukurani za dhati kwenu!!!
Nenda mapema sana TMJ muone Dr Mazigo nakuahidi hutajutia
 
Nairobi hospitali gani?
Sorry ndugu Ila hapa wanamatatizo ya kutufanya mitaji ya vipimo,wanaweza kukubambikia kabsa kitu usichoumwa,nakuambia kwa uzoefu kabsa nilisumbuliwa sana ndugu,kwel ni gharama kiasi lakin hawana usanii kama hapa kwetu
 
Nenda Nairobi hakuna magumashi kama hapa,niliumwa tumbo hapa wakaniambia pale regency eti Nina mawe tumbuni kwenda Nairobi wakapima wakakita utumbo kama umejikunga kimtindo,kutibiwa wiki moja naruhusiwa moka Leo cna hamu na usanii was hospitali zetu hizi
Kweli mkuu watanzania wengi wanakufa kwa kukosa matibabu sahihi na kwa wakati.Yaani ugonjwa wanabuni buni tuu
 
Back
Top Bottom