Medical laboratory technologist tukutane hapa

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,352
9,321
Habari wana jamii

Nmeanziasha uzi huu mahususi kabisa kwa mafund sanifu wa vipimo vya magonjwa ya binadamu.
Hawa wanapatikana kitengo cha maabara ukienda hospital

Ni watu muhimu ingawa jamii hawatambui vizur kama wanacheza nafasi muhimu sana katika afya zao
Hapa tutajadili mambo mbalimbali yanayohusu vipimo mahospitalin na changamoto zake

Na kama mdau una swali au unataka kujua chochote kuhusu maabara unakaribishwa
NAWASILISHA
 
Mmmh sababu niipi apo mkuu kwann iko ivo?
kwasababu mtu mwenye diploma hatofautiani sana utendaji kazi na huyo mwenye degree so in order to save cost mwenye diploma anakua na nafasi zaidi ya kupata ajira
 
Back
Top Bottom