Habari wadau
Nina mdogo wangu ambae alipata jipu karibu na shavu alifanyiwa upasuaji hospital akapona ila sehemu aliyoshonwa ikawa na uvimbe.
Alirudi Tena hospital wakamwandikia sindano inaitwa...
hello Jf,
Nina ndugu yangu (kaka yangu) kwa bahati mbaya ni muathirika na nimekua nae kwa karibu sana tangu hali iyo itokee na pia ni msiri wake./. hajaanza dawa za ARV.
Nilitafuta dawa mbadala...
Baadhi ya wananchi wamelalamikia suala la watu mitaani kupuuzia ugonjwa wa #COVID19 na kuacha kuchukua tahadhari muhimu zinazoelekezwa kila siku na Wataalam wa Afya duniani
Inaelezwa kuwa...
1. Mikono na kuchemka ndani ya damu ukijishika kwa juu upo kawaida
2. Ganzi miguuni mara ukaapo baada ata ya dakika 15.
3. Mishipa kutanuka mkononi na mguuni mara uchemkapo
4. Mikono ichemkapo...
Nimamua kuandika mada hii kwani nafikiri yaweza kuwa na manufaa kwa watu wengi. Maumivu ya magoti ni (Osteoarthritis) matatizo makubwa kwa watu wengi hasa wazee, wanawake na watu watu wanene...
Shirika la Afya Duniani(WHO) limeeleza kuwa watumiaji wa Sigara na Tumbaku wako kwenye hatari zaidi endapo Watabeba virusi kwenye viganja vyao
WHO imesema kuwa kitendo cha uvutaji wa Sigara na...
Kama wiki kadhaa nyuma kipindi hiko COVID -19 ndio ipo kwenye pick, nilishikwa na homa moja kali na ya ajabu, na before that nilikuwa na ruti sana za kutoka mikoani kuja Dar, ile home iliambata na...
Chimbuko la Bamia ni Abyssinia (Ethiopia) Kisha ikaenea Duniani kote.
1. Michirizi na utonvu unaopatikana katika Bamia, husaidia kusawazisha Kisukari kwa kuzuia kiwango cha Sukari inayotumika...
Watafiti wamesema madhara ya #CoronaVirus ni kwa mwili mzima kwa kuwa huathiri viongo vingine vya mwili ikiwemo mapafu, koo, moyo, ini, ubongo, figo na utumbo
Ripoti hii itasaidia kujua dalili...
Mungu apishie mbali maambukizi ya Korona. Mungu alinusuru taifa letu, wananchi, Bara la Afrika na Dunia nzima dhidi ya balaa hili la ugonjwa wa Covid-19, Korona.
Mpaka sasa ushauri na elimu...
Habari zenu, naomba kuuliza.
Mtu aliye athirika anayetumia dawa kwa mda mrefu akijichoma na sindano alafu akamchoma mtu asiye na maambukizi je mtu anapata virus?
Na damu ya mtu mwenye vizur...
Magigo yangu yametoboka yote mawili kulia na kushoto..na siwezi kutafuna vizuri.sijui nifanyeje na sitaki kuyatoa sababu nasikia ukitoa jino kwa mtu mzima halioti tena.naomba msaada nifanyeje...
BS/MRDT: Umefika hospitali daktari kakusikiliza kisha kwenye fomu yako kaandika ukapime BS/MRDT unashindwa kuelewa ila kwa sababu unaumwa unaenda kupima. Hii BS/MRDT ni nini? Leo acha nikujuze...
Vipimo vya maabara huwa sahihi kama ukipima kile kinachotakiwa kupimwa. Njia ya upimaji tutasema ni bora pale ambapo kipimo kimoja kitapimwa zaidi ya mara moja na kutupa majibu yanayofanana. Kwa...
Ndugu zangu, naombeni ushauri, maana kila mmoja ana sababu zake. Je, baada ya kumwaga, kikawaida unastahili kurudia baada ya muda gani? Hapa tunazunguzia wale ambao hawatumii vilevi au dawa za...