Naomba kujua tiba ya matatizo haya

mwananzwalile

Member
Dec 6, 2019
5
2
1. Mikono na kuchemka ndani ya damu ukijishika kwa juu upo kawaida
2. Ganzi miguuni mara ukaapo baada ata ya dakika 15.
3. Mishipa kutanuka mkononi na mguuni mara uchemkapo
4. Mikono ichemkapo inakosa nguvu na kuuma
. joint kuuma.
applicant_photo.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom