Meno yangu yametoboka katikati

Golden felician

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
216
36
Magigo yangu yametoboka yote mawili kulia na kushoto..na siwezi kutafuna vizuri.sijui nifanyeje na sitaki kuyatoa sababu nasikia ukitoa jino kwa mtu mzima halioti tena.naomba msaada nifanyeje sababu yanauma sana hukila chakula cha moto sana au maji ya baridi
 
Dawa ya maumivu ya jino ni kun'goa mkuu..au kazibe kama hautaki kun'goa ingawa sihisi kama ni salama
 
jamani hata mim nina shida hiyo gego langu la mwisho la kushoto limetoboka basi wew na hiv ni muoga naogopa kuliondoa
pole, ila hapo ni kulitoa tu....usije ukajidanganya kuziba, kuziba ni risk sana.

pole sana
 
duuuh bora umenishaur aiseee watu hatupendani kihomehome naambiwa nizibe loooh
kuziba ni kuongeza tatizo, kama unaogopa mapengo bora ulitoe hilo uweke la bandia!

lkn hilo tayari limeshikana na mishipa ya kichwa ni hatari sana
 
kuziba ni kuongeza tatizo, kama unaogopa mapengo bora ulitoe hilo uweke la bandia!

lkn hilo tayari limeshikana na mishipa ya kichwa ni hatari sana
La bandia linaweza kutafuna?? Coz na Mimi Nina shida ya meno sana
 
Sijui nikang'oe?
Sijui nikafanye root canal?
Sijui niendelee na tiba za asili?
Nimetoka kununua Sezodyne leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom