Naomba ufafanuzi katika tatizo hili la ngozi kubadilika rangi

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Sep 17, 2014
1,746
1,531
Habari wadau

Nina mdogo wangu ambae alipata jipu karibu na shavu alifanyiwa upasuaji hospital akapona ila sehemu aliyoshonwa ikawa na uvimbe.

Alirudi Tena hospital wakamwandikia sindano inaitwa triam alichomwa sindano sita kwa wiki alichomwa sindano moja uvimbe ulipungua ila tatizo linakuja ile sehemu aliyoshonwa ikawa inabadilika rangi Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.

Sasa nilikuwa naomba msaada humu kwa anayefahamu tatizo litakuwa ni Nini na namna ya kulitibu maana kila siku ni kama eneo linalobadilika linaongezeka.

Natanguliza shukrani zangu.

IMG_20200506_142334_6.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo dawa aliyochomwa ndo imemletea huo weupe utaisha taratibu usiogope ilishawahi nitokea mguuni sindano ni kali sana ndo maana zinachomwa moja kwa wiki
 
Back
Top Bottom