Ukifanya Mapenzi siku ya pili baada ya hedhi unaweza kupata Mimba?

Chiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2008
Messages
2,693
Points
2,000

Chiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2008
2,693 2,000
hivi vitu wakati mwingine havifati utaratibu wa kitaalamu kama tulivyozoea japo wataalamu wanayo majibu mazuri pia kwa Sasa wako kwenye uchaguzi ngoja warudi watakupa sababu ila unaweza kupata na mimba usitoe!
 
cute b

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Messages
17,295
Points
2,000

cute b

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2014
17,295 2,000
habari... naomba kuuliza kwamba... je msichana anapofanya mapenzi siku ya pili baada ya kutoka kwenye mzunguko Wa hedhi anaweza kupata ujauzito??
Ukifanya mapenzi huwezi pata mimba.... ila ukikojolewa ndani humo ndiyo unaweza pata mimba...
BACK TO TOPIC.
Siku ya pili baada ya hedhi huwezi kupata mimba japo kuna wengine mizunguko yao ipo hovyo huwa wanapata....
Jaribu kumwona mtaalam zaid..
 
ibra87

R I P
Joined
Jul 22, 2015
Messages
5,624
Points
2,000

ibra87

R I P
Joined Jul 22, 2015
5,624 2,000
Ukifanya mapenzi huwezi pata mimba.... ila ukikojolewa ndani humo ndiyo unaweza pata mimba...
BACK TO TOPIC.
Siku ya pili baada ya hedhi huwezi kupata mimba japo kuna wengine mizunguko yao ipo hovyo huwa wanapata....
Jaribu kumwona mtaalam zaid..
NANUKUU:Ukikojolewa Ndani humo humo

Msalimie Sumbai
 
HP1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Messages
3,364
Points
1,250

HP1

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2012
3,364 1,250
Huwezi kupata mimba siku hiyo. Menstrual cycle kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 siku unazoweza kupata mimba ni siku ya 9 mpaka 17 tangu uanze mzunguko
 
jay100

Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
20
Points
0

jay100

Member
Joined Jul 11, 2015
20 0
Ukifanya mapenzi huwezi pata mimba.... ila ukikojolewa ndani humo ndiyo unaweza pata mimba...
BACK TO TOPIC.
Siku ya pili baada ya hedhi huwezi kupata mimba japo kuna wengine mizunguko yao ipo hovyo huwa wanapata....
Jaribu kumwona mtaalam zaid..
Hili ndilo jibu mtoa mada.Wengine ni wasanii tu watakudanganya.nilitaka nijibu na ningejibu hivi kama mdau Wa afya
 
Gsana

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
4,406
Points
1,500

Gsana

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
4,406 1,500
Huwezi pata momba sababu panakuwa hakuna yai/ ovulation. Kwa sababu yai la kike linakuwa bovu ivo virutibisho vinapotea.
 
Kinyau

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2006
Messages
876
Points
500

Kinyau

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2006
876 500
Kutegema na mzunguko wake wa hedhi mwanamke anaweza kupata mimba hata siku ya hedhi akifanya ngono. Uliza kwa kina wataalam utapata darasa . Ila usikariri formula za wenye 28 japo wao wengi kuna wenye cycle fupi na wengine wana hormonal imbalance (vichocheo haviwiani) hivyo ni ngumu kukisia lini anaweza kushika mimba na lini hawezi.
 
mrsfulani

Senior Member
Joined
Oct 19, 2015
Messages
113
Points
225

mrsfulani

Senior Member
Joined Oct 19, 2015
113 225
Jaman mim nilikunywa dawa za clomid then nkakutna na Mume Wang siku yang ya hatari mzungukk Wang Wa siku 24 25 sas nimepitiliza cku zangu na nimepima mimba hakuna kunaweza kuwa na tatizo au zile dawa zimevuruga mzunguko wangu?
 
Lukanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Messages
293
Points
500

Lukanka

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2013
293 500
habari... naomba kuuliza kwamba... je msichana anapofanya mapenzi siku ya pili baada ya kutoka kwenye mzunguko Wa hedhi anaweza kupata ujauzito??
Angalia hiyo picha nafikiri itakufundisha pia na wengne kwa uzoefu wangu wapo wanawake watu wazima lakini hawajui habari ya Karenda..
 
Attachments:

kategera

Member
Joined
May 31, 2015
Messages
24
Points
0

kategera

Member
Joined May 31, 2015
24 0
Kwa ufafanuz zaid ni kwamba kwa mwanamke ambaye siku za mzunguko wake hazibaliki yaani ni 28 Basi maelezo ni kama ifuatavyo

Mfano siku ya kuanza bleed ilikuwa tarehe 31 mwezi Wa kumi basi siku ya hatari zaidi itakuwa tarehe 14 mwez wa kumi na moja ambapo yai linakuwa tayari lipo katika mirija ya folopia, Hivyo basi kujua SKU ya hatary ya kushika mimba jumlisha siku 14 toka siku ya kwanza kupata bleed, yaani bleed imeanza 31/11/2015 basi anza.kuhesabu siku ya kwanza hyo 31,

Siku ya pili itakuwa tareh 1,ya tatu tareh 2,siku ya nne tareh 3, siku ya tano tareh 4...5,..6,..7,..8,..9,..10,..11 ,..12,..13,..14,..15,..16...17,.. inase hiyo tareh 14 ndo ina asilimia 100% ya kupata mimba lakin hata tareh 12 na tarehe 13 unaweza kupata mimba kwani mbegu za kiume zinaweza kuishi kwa mda Wa masaa 24 had 48 , kwahiyo yai likutana na mbegu ambazo bado zipo hai fertilization inatoea then mimba, na hata tareh 15 na tareh 16 pia mimba inaweza kutungwa ni kwamba yai likifika folopian tube linaweza kukaa hadi masaa 48 kwaiyo kama mbegu za kiume zikutana yai ndani ya hayo masaa basi mimba huweza kutungwa.

Hitimisho
Kutokana na maelezo hapo juu basi siku za hatary ni siku ya 12 had siku ya 16, hivyobasi kuanzia 12,..13,..14,..15,..16,.. Hzo ndo siku hatary za kushika mimba ila sku hatari zaidi ni ya 14,..

NOTE : Hiyo ni kwa wale wenye mzunguko wa siku 28 tu, Kutokana na kuongezeka kwa tatzo la mimba kwa watoto Wa secondary hiyo ndo njia rahisi kumuelekeza mtoto, kwa maana wengi huwa hawaelewi jinsi ya kuhesaabu siku izo ,...na hata baadhi ya akina mama ni hilo tatzo .. ..

Kwa wale ambao SKU zao huwa znabadilika unaweza PM kwa maelezo zaid hii Huduma inatolewa bure kabisa

Na kwa wanawake ambao husikia maumivu siku ya hedhi njia rahisi ya kupunguza au kuondoa tatzo kabisa ni kujitahid kufanya mazoezi ya kuruka kamba(boyii) kila join au asubuh na kukimbia atleast mita 1000 na muhimu zaid ni kunywa maji ya kutosha hata Lita 3 kwa siku utaona mabadiliko ... Usipo ona mabadiliko niPM.....ni bure.

Ogopa sana kutumia madawa mengi kutoka kwa madaktar wa mtaani, na dawa za asili kwani unaweza kuharibu kizaz,
 
kategera

Member
Joined
May 31, 2015
Messages
24
Points
0

kategera

Member
Joined May 31, 2015
24 0
Kwa ufafanuz zaid ni kwamba kwa mwanamke ambaye siku za mzunguko wake hazibaliki yaani ni 28 Basi maelezo ni kama ifuatavyo

Mfano siku ya kuanza bleed ilikuwa tarehe 31 mwezi Wa kumi basi siku ya hatari zaidi itakuwa tarehe 14 mwez Wa kumi na moja ambapo yai linakuwatayari lipo katika mirija ya folopia, hivyo basi kujua SKU ya hatary ya kushika mimba jumlisha siku 14 toka siku ya kwanza kupata bleed, yaani bleed imeanza 31/11/2015 basi anza.kuhesabu siku ya kwanza hyo 31, sku ya pili itakuwa tareh 1,ya tatu tareh 2,siku ya nne tareh 3, sku ya tano tareh 4...5,..6,..7,..8,..9,..10,..11 ,..12,..13,..14,..15,..16...17,..inasa hiyo tareh 14 ndo ina asilimia 100% ya kupata mimba lakin hata tareh 12 na tarehe 13 unaweza kupata mimba kwani mbegu za kiume zinaweza kuishi kwa mda Wa masaa 24 had 48 kwaiyo yai likutana na mbegu ambozo bado zipo hai fertilization inatoea then mimba, na hata tareh 15 na tareh 16 pia mimba inaweza kutungwa ni kwamba yai likifika folopian tube linaweza kukaa hadi masaa 48 kwaiyo kama mbegu za kiume zikutana yai ndani ya hayo masaa basi mimba huweza kutungwa
Hitimisho
Kutokana na maelezo hapo juu basi siku za hatary ni siku ya 12 had siku ya 16, hivyobasi kuanzia 12,..13,..14,..15,..16,.. Hzo ndo siku hatary za kushika mimba ila sku hatari zaidi ni ya 14,..
NOTE : hiyo ni kwa wale wenye mzunguko wa siku 28 tu,
Kutokana na kuongezeka kwa tatzo la mimba kwa watoto Wa secondary hiyo ndo njia rahisi kumuelekeza mtoto, kwa maana wengi huwa hawaelewi jinsi ya kuhesaabu siku izo ,...na hata baadhi ya akina mama ni hilo tatzo .. ..

Kwa wale ambao SKU zao huwa znabadilika unaweza PM kwa maelezo zaid hii Huduma inatolewa bure kabisa

Na kwa wanawake ambao husikia maumivu siku ya hedhi njia rahisi ya kupunguza au kuondoa tatzo kabisa ni kujitahid kufanya mazoezi ya kuruka kamba(boyii) kila join au asubuh na kukimbia atleast mita 1000 na muhimu zaid ni kunywa maji ya kutosha hata Lita 3 kwa siku utaona mabadiliko ....uspo ona mabadiliko niPM.....n bure
 
Forum statistics

Threads 1,367,041
Members 521,607
Posts 33,385,467
Top