Uvimbe mdogo kwenye moja ya korodani za mwanaume ni sawa?

Wakuu Habal zenu? Mie ninasumbuliwa na tatizo la korodani moja kuwa kubwa kushinda nyenzie.

Katika hili kitu kinacho nitatiza na kuniogofya ni hali hizi.

1 hii korodani inamishipa mingi sana tofauti na hii nyingine

2 Huwa ikitokea bahati mbaya yoyote ile kubwa au ndogo ya kujibamiza au kuibamiza maumivu yake huwa yanakuwa makali saaana na yanaweza chukua hata dakika 7,

tafadhar wajuvi naomba msaada wenu kujua nasumbuliwa na ugonjwa gani na je halii hii ikienderea inaweza ikazalisha ugonjwa gani? Na pia ni hosptal gani sahihi kwa tatizo hili nililonalo.

Asanteni sana.
 
Dalili ya kuwa wewe unayo maradhi ya ngiri aka ngiri ya mshipa nenda kamuone Daktari au ukitaka dawa toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Na associate na tatizo lingine.kama mambo flan yainstrume tya kutengeneza watt ni sawa na ule mmea basi unaweza ukawa na tatizo la hormone flan yya makuzi.kwa yote mcheki doctor wakueleweka na si wale wanaojitoa ktk magazeti ya udaku
 
Nakushkuru Sana mkuu na nitaufanyia kazi ushaul wako asante
 
Tafadhar Nidadavulie mshana.
Inasababishwa na nini? Na je ni njia ipi nzur zaidi ya matibabu yake?
-kuna moja inasababishwa na uume kusimama mara kwa mara bila kufanya ngono
- utumbo kuingia njia ya via vya uzazi
NB : kuna ugonjwa wa mabusha pia unaitwa ngirimaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom