Dawa za Tiba Mbadala za HIV

Dawa za Tiba Mbadala za HIV

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
hello Jf,

Nina ndugu yangu (kaka yangu) kwa bahati mbaya ni muathirika na nimekua nae kwa karibu sana tangu hali iyo itokee na pia ni msiri wake./. hajaanza dawa za ARV.

Nilitafuta dawa mbadala za Wamarekani nikampatia na ziliboost sana CD4 zake...iliitwa Kupona na bei kama 120,000.

Kuna dawa nyingine nimeagiziwa kuwa zipo ila pamoja na kwamba ni za bei ya juu ila zinanichanganya maana zipo tofautitofauti kiasi kwamba naogopa kumchanganya mgonjwa.

Kwa wenye utaalam na tiba mbadala naomba muongozo. Ipi ni nzuri na sahihi kwa kuboost CD4 za ndugu yangu aendelee kuwa mwenye afya njema.

Asanteni.
 
LISHE YA KUONGEZA KINGA MWILINI NA CD4

Virusi vya ukimwi ( V.V.U. ) hudhoofisha nguvu za mwili
kujikinga na maradhi nyemelezi. Mgonjwa hushambuliwa na
maradhi kwa sababu kinga mwilini imepungua. Lishe ya kuongeza
CD4 husaidia kuongeza kinga mwilini na kupunguza makali ya
ukimwi.


ZINGATIA;
Siyo watu wote wenye maambukizi ya ukimwi wanalazimika kuanza

kutumia lishe ya kuongeza CD4 na kupunguza makali ya ukimwi.

Utaanza tu kutumia kwa kutegemea hali ya afya yako, idadi ya
chembechembe za CD4..


LISHE NA DAWA ZA KUONGEZA CD4 NI NINI ?

Ni dawa zenye uwezo wa kupunguza makali ya V.V.U

mwilini.Huongeza kinga mwilini na kumpa mgonjwa nafuu kwa kumpa

nguvu ya kufanya shughuli zake kama kawaida.

Ikiwa kinga itapungua sana na kuanza kushambuliwa mara kwa mara na

maradhi nyemelezi, unashauriwa uanze kutumia lishe ya CD4.


LISHE YA KUONGEZA KINGA MWILINI.

Kwa ajili ya kuongeza kinga mwilini tumia moja ya fomula hapa chini:

CD4 Fomula

Vitu vinavyohitajika:

Mbegu za figili (unga) - kijiko kimoja cha chakula.

Haba Soda (unga) - kijiko kimoja cha chakula.

Kitunguu thaumu (unga) - kijiko kimoja cha chakula.

Asali Safi ya nyuki - lita moja

Sufa - kijiko kimoja cha chakula.

Mdalasini (unga) - kijiko kimoja cha chakula.

Matayarisho: Vitu vyote hivyo vichanganywe pamoja hadi viwe juisi.
Matumizi: Kunywa vijiko vitatu vya chakula kutwa mara tatu.
 
LISHE YA KUONGEZA KINGA MWILINI NA CD4‏

Aidha kwa wale ambao hawawezi kujitengenezea wenyewe dawa hizi, wakumbuke kwamba
tunayo dawa ya AL-HIMAYA ambayo ni fomula yenye ubora mkubwa kwa kuongeza CD4
mwilini...


...ebu malizia hapa, je mtu ambaye tayari anatumia madawa za kupunguza makali aka ARV anaweza tena wakati huohuo akatumia pia option hii?nini cha kuzingatia kwa kesi hii? na bei yake ni Tsh ngapi?...
 
...ebu malizia hapa, je mtu ambaye tayari anatumia madawa za kupunguza makali aka ARV anaweza tena wakati huohuo akatumia pia option hii?nini cha kuzingatia kwa kesi hii? na bei yake ni Tsh ngapi?...
Mkuu Butola swali lako zuri lakini kwangu mimi limekuwa gumu kulijibu kutokana sijuwi hiyo Dawa ya (ARV) inavyosaidia mwilini mwa mgonjwa kutibu au kuongeza nguvu ya Afya ya Mgonjwa mwilini. Ila ningekushauri uwasiliane na Mtaalam mwenzangu anayeitwa kwa jina ( Dr. Abdulkarim, MamboSaleh, Mobile phone: 0777 594334, 0658 594334. utapata maelezo zaidi.
 
LISHE NA AFYA KWA WAATHILIKA WA VVU/UKIMWI TOKA THE

FADHAGET SANITARIUM CLINIC

Somalia1.jpg






Ugonjwa wa UKIMWI kisayansi ni kuathirika kwa uzaliwaji wa Cell Nyeupe za damu, ambazo husababisha upungufu wa kinga mwilini.

Mgonjwa wa UKIMWI kiafya ili asaidie uwiano wa cell zinazokutana na \ zinazozaliwa ni lazima ajitahidi kupata viini lishe muhimu ambavyo vinatoka katika chakula:

  1. Pendelea kutumia zabibu nyeusi (Black Current) kwa kuwa tunda hili lina sukari iliyochanganywa na uchafu asili kabisa ambao husaidia kuzalisha sukari ya sucrose ambayo huzalisha kwa wingi Cell Nyeupe za damu na kuongeza uwiano mzuri wa cell zinazokufa kwa kuzaliwa.

    Zabibu na sucrose iliyosheheni vitamini C, Citric Acid na Acetic Acid na viini lishe vingi muhimu kwa CD4 na CD8.

    blackcurrant-photo.jpg
  2. Pendelea kutumia chai isiyotiwa majani ya chai.
· Katika chai yako weka majani ya mlonge yaliyokaushwa vyema na kusagwa.
· Chota kijiko cha chai cha unga wa majani hayo na weka katika kikombe kimoja cha chai,
· Katika maji ya moto usiweke sukari,
· Tia asali mbichi kabisa. Ni kifungua kinywa na kizuri haina uchungu wala harufu na
· Waweza kunywa na vitafunio vyako kama chai ya kawaida.
· Waweza kutumia mchana na jioni kwani chai hiyo inasaidia kusimamisha kasi ya kuzaliana kwa virusi na kuvifanya virusi vilivyopo kusinzia hivyo hautojisikia maumivu wala kupungua kwa kinga za mwili zinazohusika yaani CD4, hii ni kwasababu ya uwepo wa virutubisho cha Hydro Chloride katika mumea wa mronge (Drumstic).

Huu ni utafiti uliofanywa na THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha ROMALINDA UNIVERSITY OF MEDICINAL PLANT kilichoko California Marekani. Haina madhara yoyote, pia waweza kutembelea THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC iliyopo Mbezi Beach kupata dawa hiyo iliyoandaliwa tayari kwa viwango vya kidaktari kwa uasili wa hali ya juu sana.



  1. Pendelea kutumia vyakula vya mchanganyiko kama
    • BAMIA + NYANYA CHUNGU + KAROTI + NYANYA MAJI + VITUNGUU + BINZARI + BILINGANYA.
    • Chemsha vyote kwa pamoja visiive sana na
    • Usiweke maji mengi sana. Ubichi wake (kijani) kwani chakula hicho ni kizuri kwa afya kwasababu ya uwepo wa Acaroids Acid ambayo pia inamsaada mkubwa wa kukinga maradhi nyemelezi.
  2. Tumia nafaka ambazo hazijakoborewa, mahindi, maharage, njugu mawe, njegere, mbaazi, dengu n.k hii huboresha viini lishe na kinga mwilini.
 
Mkuu Butola swali lako zuri lakini kwangu mimi limekuwa gumu kulijibu kutokana sijuwi hiyo Dawa ya (ARV) inavyosaidia mwilini mwa mgonjwa kutibu au kuongeza nguvu ya Afya ya Mgonjwa mwilini. Ila ningekushauri uwasiliane na Mtaalam mwenzangu anayeitwa kwa jina ( Dr. Abdulkarim, MamboSaleh, Mobile phone: 0777 594334, 0658 594334. utapata maelezo zaidi.

...Aksante sana Mkuu...
 
LISHE YA KUONGEZA KINGA MWILINI NA CD4‏

LISHE YA KUONGEZA KINGA MWILINI NA CD4

Virusi vya ukimwi ( V.V.U. ) hudhoofisha nguvu za mwili
kujikinga na maradhi nyemelezi. Mgonjwa hushambuliwa na
maradhi kwa sababu kinga mwilini imepungua. Lishe ya kuongeza
CD4 husaidia kuongeza kinga mwilini na kupunguza makali ya
ukimwi...
Asante sana ndugu yangu. Wewe ni mtu MWINGINE
 
Back
Top Bottom