Nimepata dharura nataka niende uganda kwa haraka tatizo sina kadi ya manjano.
Kesho ijumaa nataka niende mnazi mmoja nikachome ila safari ni ghafla sana natakiwa niondoke jumatatu ila tatizo...
NB.Epuka kujamiana wakati wa hedhi..
Hedhi ina nguvu sana katika maisha ya mwanamke na mwanaume ..
📌Ile hedhi ya kwanza binti anapovunja ungo ina umuhimu sana Kwa yule ambae anajitambua...
Nimekutana na kijana barabarani, kachuchumaa, akilalamika maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu. Baada ya kumpa maji na kumketisha, maumivu yalipungua haraka.
Nikamuuliza swali moja tu: “Je...
Wanaume wengi hutamani kuongeza ukubwa wa uume, lakini ni muhimu kutofautisha ukweli, utapeli na mbinu salama.
Nb: Hapa tunazungumzia kunenepesha (kibamia - neno la mtaani) sio stamina 🔥, pre-...
Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini naona kama macho yake hayako sawa!
Kuna mtu kaniambia unamuwekea poda chini ya macho itarekebisha….Lakin napata wasiswas
Nimejaribu kugoogle mtandaoni lakini...
Homa ya ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya Virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi Sugu! Virusi hivyo kitaalamu vinaitwa Hepatitis B Virus (HBV)
Virusi...
Madawa ambayo yanaweza kusababishia uharibifu wa figo
Kuna orodha ndefu ya madawa yanayotumiwa na binadamu ambayo yanaweza kuharibu figo, hizi ni aina tofauti za dawa ambazo zinaweza kuharibu...
Wakuu habari zenu wakuu naomba ni share hali yangu japo nipate hata faraja maana naona naweza kupata ugonjwa wa moyo siku siyo nyingi mimi ni binti wa miaka 25
Mwaka 2017 nikiwa kidato cha nne...
Habari wana JF.
Naombeni ushauri ninatatizo la kucha za vidole gumba toka mwaka 2015 October.
Nimeshazunguka hospital nyingi hapa Dar es salaam na hata kufanyiwa upasuaji mdogo lakini tatizo...
Habari za wakati huu, kama headline inavyoeleza. Naenda kwenye mada 1/1.
Wanaume Wanaweza Kufanya Nini ili kukabiliana na changamoto hizi?
Wanaume wanaweza kufanya mabadiliko kadhaa katika maisha...
Hbr zza usku wajameni ninaumwa kichwa ambacho hakiskii dawa wala chochote hadi sa nyingne nashindwa kuongea wala kula mnisaidie, sjui tatizo n nn? Msaada nifanyeje ama nina ugonjwa unaosababisha...
Kinywaji cha Asili cha Kuongeza Nguvu na Hamu
Viungo:
Asali vijiko 2
Tangawizi safi kijiko 1 (iliyokunwa)
Kitunguu swaumu punje 2 (zikachunwacho vizuri)
Juisi ya tikiti maji kikombe 1...
Binafsi Sina zoezi lingine lolote ninalolifanya zaidi ya kutembea. Zoezi hili ni miongoni mwa mazoezi Bora, huimarisha afya ya akili, mwili na roho pia.
Nakukaribisha kwenye ufanyaji wa zoezi hili...
Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini ,
ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
Wakuu poleni na majukumu..msaada wa kumuangamiza huyu "Candidas Auris" amekuwa akimsumbua mke wangu yapata miaka mitatu sasa tangu ajifungue kwa kisu...anatibiwa anaonekana kupona lakini baadaye...
Hello!
Habari zenu, tafadhari naomba kwa mtu yeyote anayefahamu datrari bingwa anipatie maelekezo maana nina tatizo hili na nimeshafayiwa operation mara moja bila mafanikio. Au kwa yeyote...
Wagonjwa wa kifua kikuu (TB) hupitia mateso makubwa ambayo mara nyingi jamii haioni. Si kwamba wanapenda kuacha dawa au kuzembea matibabu yao bali mara nyingi huzuiliwa na hali halisi ya maisha...
Habari za wakati huu.
Nimeanzisha thread hii ili kutoa elimu ya mtindo wa maisha, kuelezea matibabu ya tiba lishe asili, mitishamba na huduma binafsi unayoweza kupata toka kwangu.
Nitakua na...