Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Naomba kujua hii dawa Enterogermina ni kwajili ya Nini? Msaada kwa mtaalamu anayefahamu.
2 Reactions
7 Replies
747 Views
Asanteni sana ndio neno la kwaza naanza nalo. Nilileta mada hapa mnishauri jinsi ya kuacha kuangalia video za uchi na kujichua. Kuna walio nishauri, walio ni benza na kunidharau na kunidhihaki...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wakuu,nimepata tatizo la MATITI yanauma sana na kutoa maziwa mazito sielewi naomba msaada
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Chunusi na majipu ni matokeo ya maambukizi ya ndani, usawa wa homoni, au sumu ya ndani, ambayo husababisha kuvimba kwa follicles ya nywele na, kwa acne, tezi za sebaceous. Wanapaswa kutibiwa juu...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello ,happy new year. Ukiwa unaumwa jino , unashauriwa kwenda hospital Kwa ajili ya matibabu zaidi . Ila pia ikiwa upo mbali na hospatli Ila maumivu yamekuzidia Sana . Chukua maji ya moto...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Lehemu (cholesterol) ni aina ya mafuta kama nta yanayopatikana kwenye damu na kusambaa sehemu mbalimbali za mwili. Kwa kawaida, lehemu ni muhimu sana kwa: Kuta za seli, Homoni za mfumo wa uzazi...
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Dawa pekee ya kuchoma tumbo lako liwe tambarare.. Utachoma mafuta ya tumbo ndani ya wiki 2. Katika kikombe cha maji ya moto ongezea maji ya limao nusu, kijiko cha chai cha pilipili manga ...
0 Reactions
3 Replies
414 Views
Habari zenu na pia heri ya Christmas, jaman ndugu yenu nafunga mwaka vibaya; naumwa vitu vinatembea mwilini na mwili unatikisika. Nitumie tiba gani nimehangaika hospital zote sioni tatizo...
3 Reactions
214 Replies
19K Views
habari zenu,,, naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Wanaume hawapati hedhi. Hedhi ni mchakato wa kibayolojia ambao hutokea kwa watu walio na mifumo ya uzazi ya mwanamke, kwa kawaida huhusisha umwagaji wa kitu kinachoitwa "UTERINE LINING" ...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Nina tatizo la kiungulia kila ninapokula chakula chochote ambacho ni fresh, after five minutes kinaanza kunichoma sana, nimeenda hosp several times wananiambia nina dalili za vidonda vya tumbo...
1 Reactions
34 Replies
72K Views
Jamani nimekua nikifuatilia taarifa nyingi sana za jamii forum ila nilisoma taarifa za ndgu zangu walio teseka na ugonjwa wa amoeba mwaka 2012/2018 walivyokua wakielezea changamoto zao jamani na...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ukiachana na JUA vitamin D inapatikana zaidi kwenye samaki ambao east afrika hawapo, kuna njia zingine kama mayai ama maini ya ngombe lakini hizi hutoa asilimia chache sana ya vitamin D...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
MATUMIZI ya mafuta ya habat soda ni mengi sana katika mwili wa binadamu lakini leo utajifunza na kufaidika na haya machache ambayo ninayaandika hapa chini: KWA AFYA Kunywa kijiko kimoja cha...
1 Reactions
71 Replies
85K Views
Fangasi sehemu za siri ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi. Dalili zake ni kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya, kuwasha, na hali ya aibu hasa unapokuwa karibu na watu au unaposhiriki tendo la...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wanaJF!! WanaJF kuna kijana anasumbuliwa na matatizo ya UTI wa mgongo anaomba msaada , yeye ni wakitandani tu mwenye chochote alichojaliwa amsaidie kwa aajili ya matibabu
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Wakuu nimekutana na maeggs ya nyoka hapa ...na na HAMU ya kula mayai Leo ....nataka nile haya as a substitute ya mayai ya kuku Inasemekana Mayai "Egg's" yote yakiwa fresh ni salama,Sasa swali...
14 Reactions
111 Replies
4K Views
Anonymous
Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana kwa mara nyingine tena kwa sababu jambo hili sio mara ya kwanza kuripotiwa Mashine ya MRI (Magnetic resonance imaging) katika Hospitali ya...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Nimepata dharura nataka niende uganda kwa haraka tatizo sina kadi ya manjano. Kesho ijumaa nataka niende mnazi mmoja nikachome ila safari ni ghafla sana natakiwa niondoke jumatatu ila tatizo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
NB.Epuka kujamiana wakati wa hedhi.. Hedhi ina nguvu sana katika maisha ya mwanamke na mwanaume .. 📌Ile hedhi ya kwanza binti anapovunja ungo ina umuhimu sana Kwa yule ambae anajitambua...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom