Habari zenu waungwana?
Naomba kuwauliza wataalamu wa humu.
Leo alfajiri majira ya saa 10 hivi nimekunywa dawa za minyoo zinazoitwa Albendazole.
Sasa baadae leo jioni nina miadi na jamaa zangu...
Kupiga punyeto (kujichua) mara nyingi huchukuliwa kama kitu cha kawaida, lakini ukweli ni kwamba ni tatizo linalosababisha madhara makubwa kiafya na kisaikolojia. Watu wengi wanaozoea kufanya hivi...
Habari ya wakati huu.
Ni yapi madhara ya vidonge vya azythromycin kwa mjamzito mwenye typhoid na kwa mtoto aliyeko tumboni.?
Je, ni dawa ipi inafaa sana badala ya azythromycin.?
Dr. Ndiye...
Wadau,
Nasumbuliwa na tatizo la ngozi ya uso kubabuka au kupauka yaani nikipaka mafuta baada ya mda unapauka sijawah kutumia mkorogo wa aina yoyote nlienda phamacy wakanipa cream ya kujipaka ila...
Habari zenu wana jamvi,
Bila kupoteza muda mimi ni kijana mdogo 20s
Nimepata TATIZO naliona pigo kubwa katika maisha yangu.
Nilipata ajali niladondokea kinena yani njia ya mkojo ikaziba kabisa...
Habar wakuu Mzee wangu alifanyiwa operation kwenye korodani tar 13/9/2025,baada ya korodani kugeuka nakuwa na maumivu makali kwa siku5 ikabid afanyiwe operation,
Sasa baada ya operatio alikaa...
HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini.
Kuna vitu...
Habari,
Hongereni kwa kutimiza majukumu yenu ya kila siku kuhakikisha tunasogeza mbele gurudumu la maendeleo binafsi, familia na taifa letu.
Nimeamua kuandika uzi huu ili kuhakikisha pia...
Ndugu mnaosumbuliwa na vidonda vya tumbo,
Tumezoea humu JF raia wakitoa ushuhuda juu ya dawa fulani kuwa imemsaidia kuponya matatizo yake na kushauri na wengine kwenda kuinunua hiyo dawa.
Mimi...
Ukisikia kama kuna pepo la magonjwa linampango wa kukuandama nakukuangamiza nadhani ndio huku.....
Wakuu na madaktari wa jf nawapa heshima zenu wasalaam....niende kwenye mada...
Takribani wiki...
Nimekuwa nikifatilia mijadala ya UKIMWI humu kwa muda mrefu na haya ninayotaka kuyasema humu yalishasemwa na mimi nimeyashuhudia siku chache zilizopita kwa majirani zangu.
Jirani yangu huyu...
Kumekuwepo na taarifa pia matangazo mengi kuhusu dawa za kutibu ugonjwa wa homa ya ini.
Je, ni kweli ugonjwa huu unatibika na kupona kabisa?
Je, ni sahihi dawa mbadala ni Bora zaid kuliko za...
Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea...
Wakuu habari zenu,
Kama nimevyoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo niliyoandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya...
Septemba 29 kila mwaka huwa ni Siku iliyotengwa maalum kujadili kuhusu Magonjwa ya Moyo ambayo takwimu zinaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la vifo vinavyotokana na magonjwa ya Moyo, pia namba ya...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeongeza siku mbili zaidi za upimaji bure wa afya ya moyo, hatua iliyochukuliwa kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kujitokeza kupima na kupata ushauri...