Naomba kuuliza ndugu zangu kuna jambo hapa silielewagi kabisa..
"Hivi kama unafanya mapenzi na mwanamke kwa style ya kusimama halafu ukammwagia (mbegu za kiume) huku akiwa amesimama muda huo huo...
Kheri ya mwaka mpya all human beings
Hakika Mungu ni mwema. Ni mwaka mpya wa afya njema na amani. Mwaka nauanza kwa kwenda kupata chanjo ya "hepatitis" kama sijakosea spelling. Ni hatari sana...
Nani anaujua mti unaoitwa Pygeum tree, magome yake hutumika kutibu tezi dume. Nimepita mtandaoni picha za kule zinanichanganya kwa sababu zinakuja species tofauti.
Naomba anayeujua kwa kina na...
Ndugu wanajamvi habari za leo?
Kuna dada hapa amejifungua lakini mtoto lakini kwa bahati mbaya mtoto amefariki. Sasa amepata shida matiti yamevimba na yanauma sana.
Hivi anaweza kutumia dawa...
JF Doctors, heshima kwenu.
Katika pitapita zangu niliweza kujifunza kuwa chanjo/ vaccine hutolewa kwa mtu ambaye ni negative yaan mtu ambaye bado hajaathiriwa na ugonjwa husika. Nikiwa na maana...
Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache...
nikienda haja kubwa napata maumivu makali sana,na damu zinadondoka matone mfululizo,kuna uvimbe sehemu ya haja kubwa,naomba ushauri nitumie dawa gani,ni wiki moja tangu tatizo lianze...msaada...
Kuna uwezekano wa mwanamke kuepuka kushika mimba akiwa na tabia ya kujisafisha kwa maji punde tu baada ya tendo?
Wataalamu njoeni kabla hakijaumana [emoji28]
Wadada wengi wa bara la Afrika asili yao ni ngozi nyeusi yenye kungaaa sana almaaluf " chocolate colour " Lakini kutokanana maendeleo ya sayansi na teknolojia waafrika wengi hujikuta wakitamani...
ZIKIWA zimesheheni protini na madini kadhaa kama vile chuma, kopa, maginizia, manganizi na zinki, mbegu za maboga zinakuwa mbegu bora na muhimu kutafuna kila wakati kama wewe ni mpenzi wa...
UJUMBE KUTOKA HOSPITALI KUU YA TAIFA
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana...
Kumezuka ugonjwa mpya wa kujikuna ambao mtu anawashwa Sana na anatoa vipele vidogovidogo. Sijui ni wangapi mmeshausikia au kuupata. Mimi na familia yangu wote tunawashwa na huko Moshi pia Kuna...
Samahani wadau naomba kujua ktk mwili chanzo cha kamasi na makoozi ni nini? Kipindi mtu anamafua na kamasi zinaongezeka kwa nin? Na makoozi yanatoka wapi?
Je, mtu anayekuwa na makoozi mara kwa...
Habarini za jioni wanajukwaa,jana asubuh baada ya kuamka nilihisi sikio langu la kulia haliko sawa,yaani lilikuwa na mawimbi makali halaf likiwa zito,na hvo kunifanya nisisikie vizur,lakin...