Tatizo la makohozi yasiyotoka kooni

LUCKY BANANA

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
461
226
Habari wakuu,

Nauliza hivi ninatatizo la kuwa na kohozi kwenye koo lkn sikohoni, nimeshatumia dawa lakini haifanyi kazi
 
habari wakuu
nauliza hivi ninatatizo la kua na koozi kwenye koo lkn sikohoni, nimeshatumia dawa lkn haifanyi kazi
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.

Ukiwa na Shida yoyote ile.

Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu.

Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App +447459370172
 
habari wakuu
nauliza hivi ninatatizo la kua na koozi kwenye koo lkn sikohoni, nimeshatumia dawa lkn haifanyi kazi
mkuu huo ni ute(mucus) unaobaki katika njia ya chakula...unachotakiwa kufanya....unapopiga mswaki sugua ulimi polepole though..then fanya kama unasogeza mswaki ndani karibia na shingo utapata feeling ya kutapika huo ute ndo utatoka kwa style hiyo...pili fanya mazoezi hasa kukimbia..it will clear your throat..all these from my experience
 
Hili.tatizo lasababishwa na nini mimi mara ya kwanza nilikuw naumwa tonses nikatumia pencilin likapona sasa nahisi kama kitu kimestick kooni nakabwa sijui tatizo langu nini mkuu kama unafaham
 
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Hata dondoo hutoi! khaa..
Biashara gani hiyo sasa..
 
Wakuu mm pia nina tatizo Kama hili...ni zaidi ya mwaka Sasa....makohozi yanakaa kooni na kusababisha kero....vipimo vinasema ni acidi ya tumboni....nimetumia dawa za hospital bila mafanikio....kwa mliokuwa na tatizo Kama hili....na mkafanikiwa kupona... msaada jamani.
 
Hili.tatizo lasababishwa na nini mimi mara ya kwanza nilikuw naumwa tonses nikatumia pencilin likapona sasa nahisi kama kitu kimestick kooni nakabwa sijui tatizo langu nini mkuu kama unafaham
Mimi nlipata tatizo kama hilo plus corona. Nilipopona nilikuwa na shida ya kuhisi kama kuna kitu kooni hakipandi hakishuki kwa muda mrefu.

Ila nahisi ni kama matatizo ya gesi au acidity ile wanaita kiungulia (heartburn). Jaribu kula matango na matikiti yanaweza kikusaidia
 
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Hivi huyu Mzee yupo au Korona imemficha
 
Mimi nlipata tatizo kama hilo plus corona. Nilipopona nilikuwa na shida ya kuhisi kama kuna kitu kooni hakipandi hakishuki kwa muda mrefu.

Ila nahisi ni kama matatizo ya gesi au acidity ile wanaita kiungulia (heartburn). Jaribu kula matango na matikiti yanaweza kikusaidia
umetumia dawa gani mkuu na ilichukuwa muda gani mpaka ukapona
 
Hii ni Esophageal Reflux Cough mostly inatokea watu wenye GERD
Tumia
Baclofen 5-10mg twice daily au
Gabapentin 300mg twice daily kwa 2-4 weeks unakua poa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom