Ni kama mimi vile leo nilivyokuwa nimeshajiandaa tayari kuitwa kaka kisha nikakanwa!
[emoji38][emoji38][emoji38]Ni kama mimi vile leo nilivyokuwa nimeshajiandaa tayari kuitwa kaka kisha nikakanwa!
AhsanteHayo ni maziwa tu yalikuwa yashajitengeneza ni suala la mda litakwisha
Amina! Ubarikiwe sanaBora aende hospitali watampa dawa ya maumivu na ya kukausha maziwa.
Nyonyo zikiwa zimejaa na maziwa hayanyonywi zinauma balaa atapata hadi homa.
Mungu atampa mtoto mwingine.
Atumie Bromocriptine 2.5mg twice dailyNdugu wanajamvi habari za leo?
Kuna dada hapa amejifungua lakini mtoto lakini kwa bahati mbaya mtoto amefariki. Sasa amepata shida matiti yamevimba na yanauma sana.
Hivi anaweza kutumia dawa gani ili imsaidie maana anapata shida sana
Ahsante