Msaada wakuu hili jambo linanitatiza

Msaada wakuu hili jambo linanitatiza

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,612
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri na kazi iendelee.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwa nilichokusudia.

Yapata mwezi mmoja nimekuwa na tatizo linalonitatiza.

Siwezi kwenda zaidi ya round mbili kwenye sex na napokuwa napeez uume unauma kiasi jambo linalopelekea kukosa hamu ya kurudia tendo.

Na pia ikitokea nakapata hamu ya kuendelea bado inachukua muda mrefu hata lisaa na natumia muda mfupi kupeez.

Nilijaribu kuchukua dawa za uti lakini naona hali bado ni ileile wakuu shida inaweza kuwa nini?

Tatizo la uume kuchelewa kusimama kuendelea na round ya pili nalipataga mara nyingi nikiwa nimenyoa nywele za sehemu za siri ila this time ni tofauti.

Naombeni ushauri nichukue hatua gani?
 
Msongo wa mawazo ndio tatizo sahau hilo tatizo alafu iweke akili yako fresh na huyo demu wako awe na amsha amsha sio katulia tu kama sanamu
 
Msongo wa mawazo ndio tatizo sahau hilo tatizo alafu iweke akili yako fresh na huyo demu wako awe na amsha amsha sio katulia tu kama sanamu
Kweli mkuu inawezekana
 
0712505049
IMG_20220203_203258_141.jpg
IMG_20220203_203119_931.jpg
Screenshot_20220201-141644.jpg
 
Achana na mambo ya round nyingi, fanya mambo mengine...
 
Back
Top Bottom