Nateseka nilitumia dawa aina ya Malafin

Jojo123

JF-Expert Member
Jan 31, 2013
432
694
Ndugu zanguni Habari zenu,

Naombeni anaye jua jinsi ya kumaliza sumu inayonitesa ya dawa niliyotumia ya Maleria inaitwa Malafin.. yaan tangu nitumia zilipopita siku 7 tu.. baada ya hapo nimeanza kumwa mifupa ma kuvimba mwili yaan naumwa usiku silali. Viganja vya mikono vinauma mifupa kwa ndani siwezi shika kitu nalala tu kitandani maana hata nyayo za miguu zina uma utadhani kuna makaa ya moto yameweka kwandani yaan mifupa inauma siyo kawada.. na homa kali inapanda maana nina vimba uso na mwili mzima nina washwa siyo kawaida..

Naombeni ushauri wa Madoctor nitumie nini kuondoa hii sumu maana naumwa tangu alhamis mpaka leo Jumapili siwezi fanya kitu mpaka nalia kama mtoto..

Nielekezeni nifanyanyaje maana kila kukicha hali ya mifupa ndio inakuwa mbaya sana.
]
 
Attachments

  • 20210117_084828.jpg
    20210117_084828.jpg
    27.1 KB · Views: 45
  • 20210115_080534.jpg
    20210115_080534.jpg
    30.9 KB · Views: 42
  • 20210115_080656.jpg
    20210115_080656.jpg
    33.6 KB · Views: 45
  • 20210115_080700.jpg
    20210115_080700.jpg
    38.2 KB · Views: 39
  • 20210115_080630.jpg
    20210115_080630.jpg
    34.7 KB · Views: 41
Una allergy na Dawa zinazocontain sulphur so cha Muhimu stop kutumia hiyo dawa na Usitumie dawa zenye sulphur ukitoa hiyo kuna metakeplhin.!! Badilisha dawa anza kutumia ALU. Hizo rashez zitaisha tu zenyewe dawa ikiisha mwilini pole sana.
 
Tatizo bora ingekuwa rashes pekee .. ninge vumilia. ratizo naumwa viganja ya mikono na unyayo wa miguu siwezi kuweka miguu chini wala kishika kitu.. mikono ina uma mofupa sana
 
Una allergy na Dawa zinazocontain sulphur so cha Muhimu stop kutumia hiyo dawa na Usitumie dawa zenye sulphur ukitoa hiyo kuna metakeplhin.!! Badilisha dawa anza kutumia ALU. Hizo rashez zitaisha tu zenyewe dawa ikiisha mwilini pole sana.
Daaah alaf baada ya metakelfin kunizingua nikaswitch kwa maläfin kumbe zote jau itabidi nitumie ALU tu
 
Hata Metakelfin zilishapigwa marufuku Marekani. Niliuliza wakasema eti zina athari mbaya kwenye ubongo na moyo. Ilibidi kuzitupa. Ila sisi huku Afrika jalalani kila kitu tunatwanga tu!
yeah ni metakelfin nlishawahi meza kipindi fulani nliona napaa naenda kuzimu... ziliniyumbisha kinoma😵 nikapitiwa na usingizi mzito sana😴 kuja kuamka sofa limeloa jasho si la kawaida!
 
Yaan nimeenda Hospital nimedungwa Sindano za Aleji na pia nimedungwa nyingine ya antibiotics napia kesho natakiwa tena nikadungwe.. yaan na vidonge juu .. najiuliza elfu 30 isha nitoka kisa Malafin ya elfu 2000..

Ila nashukuru Doctor kaniorodheshea dawa zote zenye sulphur akaniambia nisikae nitumie kamwe.
 
Back
Top Bottom