HABARI WANA JF,
Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.πππ
1.Nini Chanzo.
2.Madhara...
Tulianza kama mchezo, kuitana popobawa na hatimae tigo ikaliwa. Huo mchezo umeendelea na hatima ameona ni muda wa kuzaa sasa. Changamoto iliyopo ni madhara "tunayo sikia sikia"
Kuwa kama ulikuwa...
Hivi nywele kuwa za rangi ya brown ni ugonjwa au ni nini hiki.
Na huwa mnaondokana vipi na hili tatizo maana usipochana unaonekana kama mtu wa jalalani..
Kupaka superblack ndo kitu sitaki hata...
Jamani kuna kitu nashindwa kuamini, je, ni kweli kuna baadhi ya mazoezi huongeza hipsi na tako kwa wanawake? Na vipi wakiacha kufanya hayo mazoezi izo hips na makalio waliyoyapata kupitia mazoezi...
Watanzania wengi wamekuwa wakiumizwa na changamoto za vijana wao kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya na kujikuta wanapoteza malengo yao ya kimaisha kama vile kupata elimu, kuwa na maisha...
Wazo Potofu: Magonjwa yote ya figo ni hatari.
Ukweli: La, magonjwa yote ya figo si hatari. Yakitambuliwa na kutibiwa mapema, magonjwa mengi ya figo yanaweza kuponywa. Kwa mengi, utambuzi na...
Habari wana bodi,
Nilikuwa sijafanya naye mapenzi zaidi ya mwezi mmoja kila mmoja akiwa na hamu na mwenzake.
Nilishangaa baada ya kumuaanda na kuzamisha uume ndani kama vile papuchi inajambaa na...
Unataka kufanya usiku wako kuwa poa kwa maana ya kuwa na wakati mzuri unapolala basi kuna vitu vya kuzingatia tangu asubuhi unavyoanza siku yako ili uweze kuimaliza siku yako vizuri kwa kuwa na...
Nimebahatika kupata mdada huko nyuma alishawahi kuolewa akapata watoto wawili. Ni muda mrefu hajapata ujauzito. Mimi pia nataka nimjaze fasta. Mitaani wadau huwa wanadai karanga mbichi huwa...
Mashahidi wa yehova(jehova's witnesses) ni kundi la kiimani kama yalivyo makundi mengine mfano waislamu, wakatoliki na waprotestanti.kundi hili ni maarufu katika suala la uongezwaji damu.kwa...
Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu.
Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja).
Ajabu mwezi huu hajaona siku...
wataalamu naomba ushauri wenu,nilifanyiwa kipomo cha OGD kama mara mbili ikaonekana ninashida ya Slide hiatus hernia with Gerd, then nikawa recommend kufanya Barrium Swallow kabla ya operation...
Salamu Kwenu Wakuu,
Mdogo wangu huyu wa Miaka 21, kakumbwa na tatizo hilo mwaka wa pili saivi tangu tatizo limuanze ni vidonda viko kichwani mwake ambavyo kuna muda vinakua vibichi kuna muda...
Mei ni Mwezi wa Ufahamu wa Afya ya Akili. Mental Health ni muhimu katika kila hatua ya maisha, yaani kuanzia Utoto, Ujana hadi Utu uzima. Afya ya Akili sehemu muhimu za Afya kwa ujumla kama ilivyo...
Ninaomba kuuliza, eti ulaji wa udongo kwa wanawake kunaweza kusababisha bawasiri? Maana kuna dada angu analalamika kuwa anaona kama kinyama kidogo kimeota sehemu ya haja kubwa, nae ni mlaji mzuri...