Huduma ya Meno bandia inapatikana wapi?

Huduma ya Meno bandia inapatikana wapi?

Kama upo Dar wilaya ya Temeke nenda pile Kuna hospital Nyumba ya 3 baada ya pile bar.

Kuhusu Bei sikumbuki kwa kweli maana my Mum aliwekaga muda Sana.
 
Kuna kituo kinaitwa saba saba kwa mpili, pale kuna huduma hiyo huyo doctor mpaka namba zake ninazo. Gharama zake tangu nimfahamu hajawahi fikisha laki moja labda kama umepoteza meno ya kinywa kizima.
 
Kuna kituo kinaitwa saba saba kwa mpili, pale kuna huduma hiyo huyo doctor mpaka namba zake ninazo.
Gharama zake tangu nimfahamu hajawahi fikisha laki moja labda kama umepoteza meno ya kinywa kizima
Naomba namba yake bc mkuu
 
Kuna kituo kinaitwa saba saba kwa mpili, pale kuna huduma hiyo huyo doctor mpaka namba zake ninazo. Gharama zake tangu nimfahamu hajawahi fikisha laki moja labda kama umepoteza meno ya kinywa kizima.
Naomba namba yake
 
Habari wakuu,

Huduma ya meno bandia inapatkana wapi? Na vipi kuhusu gharama zake kwa meno ya mbele?
Nenda Muhimbili ila sipale pale mwanzo Dental School bali kule mwisho Jengo la OPD kuna jamaa mmoja aitwa Dr Kessy yupo vizuri kwenye hilo
 
Kuna kituo kinaitwa saba saba kwa mpili, pale kuna huduma hiyo huyo doctor mpaka namba zake ninazo. Gharama zake tangu nimfahamu hajawahi fikisha laki moja labda kama umepoteza meno ya kinywa kizima.
Nashkuru sana mkuu nilishafanikiwa nilienda apo apo uliponambia
 
Anapatikana mission njia ya kwenda mbagala, mwanzoni alikuwa anatoa huduma pale kipati jirani na Saba saba kwa mpili. Anaitwa doctor Moses
Namba zake naweza kukupatia ukihitaji.
Naomba unielekeze na mimi, ni wap?
 
Back
Top Bottom