Twins love
Senior Member
- Jan 27, 2022
- 114
- 160
Jamani kuna kitu nashindwa kuamini, je, ni kweli kuna baadhi ya mazoezi huongeza hipsi na tako kwa wanawake? Na vipi wakiacha kufanya hayo mazoezi izo hips na makalio waliyoyapata kupitia mazoezi vitaondoka au vitaendelea kuwepo?