Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 kwa sasa naishi iringa mjini, nimeondoka dar february baada ya kula sana msoto nikaamua ngoja niende sehemu ambayo hakuna anaenijua nipate utulivu wa akili...
6 Reactions
60 Replies
5K Views
WAZIRI wa afya Ummy Mwalimu ameeleza kati ya watu 100 Tanzania wanaoishi na virusi vya ukimwi 95 wanatumia dawa za kufubaza virusi (ARVs) huku watano kati yao wanaacha dawa hizo ,suala ambalo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela. Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na...
8 Reactions
113 Replies
51K Views
Wasalaam Naomba niende moja kwa moja. Nina tatizo linalonisumbua sasa zaidi ya mwaka. Mzunguko wangu wa hedhi umekua na shida..kwanza niweke kumbukumbu kipindi cha nyuma nilishawahi kitumia...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kitovu ni sehemu inayoonyesha muunganiko uliokuwepo kati ya Mama na mtoto ya kwamba mtoto alikuwa akimtegemea mama pindi akiwa tumboni. Sehemu ya kitovu ambayo uwa wazi pindi mtoto anapozaliwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari yenu ndugu zangu, Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Je, ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na kawaida tulivyozoea...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na Radha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wadau naomba kujuzwa kikokotoo cha pension cha zaman kilichokua kikitumika kukokotoa mafao ya watumishi wa serikali
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Natumai nyoooote hamjambo kabisa, naomba niende moja kwa moja kwenye mada na mnieleweshe ndugu zangu! Nilienda Kigoma kumcheck bro yangu, nikakutana na huyu shem bhana, (bro hayupo kwa miezi...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Naombeni msaada wataalam.Ninapata maumivu ya kichwa na mabega kuanzia jioni ya saa kumi.sina homa ingawa naishi na kisukari kwa muda mrefu na kipo well controlled.Nimepima malaria sina,uwingi wa...
1 Reactions
2 Replies
513 Views
Asilimia 70 ya wagonjwa wanaopata matibabu katika kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya Rufani ya Kanda Mbeya, wanasumbuliwa na matatizo ya uti wa mgongo huku chanzo kikubwa kikitajwa ni kukaa kwa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamii na poleni na majukumu. Naomba ushauri kwa wanaojua hospitali nzuri kwa vipimo vya endoscopy na kwa gharama nzuri hapa Dar Es Salaam. Natanguliza asante.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa isipokuwa pale inapobidi, mfano kwa wale wenye magojwa ya mfumo wa hewa na kwenye mikusanyiko ya ndani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mamlaka zinachunguza uhusiano wa dawa za paracetamol za kimiminika na makumi ya vifo vya watoto vinavyosababishwa na figo kushindwa kufanya kazi baada ya siku 3 hadi 5 za kutumia dawa hizo Ingawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa? Mke wangu mwenye umri wa miaka 26 aligundulika ana saratani ya matiti akaanza kupatiwa dozi za chemotherapy, amepata mizunguko 8 na hatimaye uvimbe uliokuwepo kwenye ziwa...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Mratibu wa Afya ya Kinywa na Meno Taifa kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo amesema kwa mwaka 2021, takriban wagonjwa 600 waligundulika kuwa na saratani za kinywa na meno. Dk. Nzobo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Naomba kuuliza je ni salama kutumia Ac kwa mtoto mchanga? Majibu yenu tafadhari
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Majaribio yaliyofanyika kwa zaidi ya watoto 400 wa Afrika Magharibi ya chanjo hiyo yanaonyesha kuwa inatoa ulinzi wa hadi 80% kwa hadi miaka 2, dhidi ya #Malaria inayogharimu maisha ya takriban...
0 Reactions
0 Replies
483 Views
Chuo kikuu cha Oxford kimekamilisha jaribio la kwanza la uchunguzi wa kitabibu kuhusu ufanisi wa chanjo mpya ya ugonjwa wa Malaria iliyopewa jina la R21/Matrix-M. Kwa mujibu wa chapisho la...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…