Kichwa kuuma kuanzia saa 10 jioni

Kichwa kuuma kuanzia saa 10 jioni

Mayo clinic

Member
Joined
Sep 1, 2022
Posts
24
Reaction score
23
Naombeni msaada wataalam.Ninapata maumivu ya kichwa na mabega kuanzia jioni ya saa kumi.sina homa ingawa naishi na kisukari kwa muda mrefu na kipo well controlled.Nimepima malaria sina,uwingi wa damu ni 14g.Yaweza kuwa shida gani?
 
Pole sana ndugu, tungoje wataalam watujuze!
 
Back
Top Bottom