Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidgo dogo kwenye Kuta za uke mda mrefu sana nmaeenda hospital nyingi nmepewa dawa nyingi natumia lakn hamna mabdiliko, anayefahamu dawa ya huu ugonjwa Ni...
3 Reactions
72 Replies
10K Views
Habari wakuu, nauliza je kuna tiba ya goita? Nimepima nimegundulika na goita upande wa kulia washingo kumevimba maana napata maumivu makalii mda wote nawakati wakula kulala. Sasa wakuu nimekuja...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Za mida wakuuu natumai ni wazima Kwa wiki ka 8 iv nasumbuliwa n homa.kali sana ambayo.kuna muda hua unalungua . Nilijarbu kuenda ku test HIV. TYPHOID N MALARIA PAMOJ N MKOJO wiki kama 3...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Naomba msaada wanazengo nimepoteza hamu ya kushiriki tendo ghafla yani demu wangu anakuja geto mara 4 mfululizo lakini sina hamu kabisa yani ananifanyia kila kitu michezo yote yani mautundu yote...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari ndugu wana Jamii Health, Mimi nina mtoto mwenye umri wa miezi 2 na wiki 2, tatizo la mtoto wangu ni kwamba hatoi haja kubwa, yaani ananyonya tu ila hakuna haja kubwa, ila mkojo anakojoa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtoto akifikisha miezi 6 unaweza kuanza kumpatia vyakula vingine kidogo kidogo. Mtoto akianza kupewa vyakula nje ya maziwa mapema kabla ya miezi 6 ni hatari kwa afya yake maana mfumo wake wa...
1 Reactions
1 Replies
13K Views
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi, vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida. Jana nimekuja...
24 Reactions
295 Replies
38K Views
Wakuu hii kitu inamaana gani? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
10 Replies
909 Views
Kuna dawa ya kutibu malaria maarufu inayojulikana kwa jina la MALAFIN Hiyo dawa hapo juu ndani ina vidonge viwili na huwa inauzwa kwa bei ya sh 1500, na sehemu nyingine huwa ni sh 2000. Baada...
13 Reactions
110 Replies
36K Views
Habari wapendwa, Naomba kujuzwa kama naweza tibiwa tatizo la mtoto wa jicho na likapona. limeanza kidogo naona linaendelea. Ningependa kujuzwa na gharama zikoje.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
je!? yale malipo ya bima ya afya, iwapo muhusika atopata huduma kwa kutopata maradhi ndani ya kipindi husika. mfuko hufanya nini na hizo pesa!??? Nashauri mfuko kurudisha fedha za mwana mfuko...
0 Reactions
8 Replies
648 Views
Wakati baadhi ya wanawake wakizichangamkia dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio, watalaamu wamesema mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa na Mamalaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) hivyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ugonjwa wa UKIMWI bado ni tatizo kubwa katika jamii, hivyo ni muhimu kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya kujikinga na ugonjwa huo. Ni muhimu kuhimiza watu kuchukua tahadhari kwa wale ambao...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu mimi nilikuwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kukosa choo. Nilifanyiwa upasuaji (operation) hospitali ya Mloganzila mara mbili mwezi wa 5 na mwezi wa 7 mwaka 2021 sasa, nimekuja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalam wa afya wanasema asilimia 80 ya viharusi vinaweza kuzuiwa kupitia mabadiliko ya mtindo mzuri wa maisha na kucheki afya mara kwa mara ili kudhibiti hatari za kiharusi. Watafiti wamegundua...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni Msaada wa Mawazo. Habari mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 niko na changamoto. Awali nilijihusisha na matumizi ya pombe, mihadarati na bangi ikanisababishia kupata matatizo ya...
1 Reactions
11 Replies
723 Views
Wakuu habari zenu? Kuna kitabu kimoja nime bahatika kukisoma kinaitwa healthy food kimeandikwa na George D.Pamplona-Roger,M.D ,nilichokisoma humo ndio nikaamua nije niwaambie na nyinyi wakuu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu siku nne zilizopita kuna ka upele kadogo kaliota juu kidogo ya goti mimi nikaona kameiva nikakatumbua. Sasa kamekuwa kero, maana ukubwa wake umeongezeka maradufu halafu naumia, naombeni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Msaada kwa ma expert mimi nina tatizo la kupata majipu masikioni ambapo kuna kipindi sehemu ya sikio ilikua ikiwasha sana yaani unaweza dhani kuna mdudu au kuna kitu kinatembea masikioni lakin...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…