LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,431
- 12,292
Kuna dawa ya kutibu malaria maarufu inayojulikana kwa jina la MALAFIN
Hiyo dawa hapo juu ndani ina vidonge viwili na huwa inauzwa kwa bei ya sh 1500, na sehemu nyingine huwa ni sh 2000.
Baada ya kuitumia kwa zaidi ya mara tatu, kila muda ninapoitumia imeniletea madhara ikiwemo uvimbe kama mvilio wa damu kwenye kichwa cha uume na ngozi ya uume kuchubuka. Pia mdomo nao kwenye lips kumetokea mchubuko na mvilio wa damu.
Baada ya kwenda hospitali kuonana na doctor kumuelezea hali yangu ilivyo baada ya kuitumia ile dawa nliyonunua pharmacy. Doctor aliniambia kuwa hizo dawa ni hatari sana na zinaweza kupofua macho na hata kuharibu system ya nguvu za kiume na akanitaka iwe mwanzo na mwisho kuzitumia kwa usalama wangu
USHUHUDA
Baada ya kuelezea hili tatizo kwa watu wengine kuna baadhi nao wamesema limeshawatokea. Zaidi ya watu watatu waliniambia kuwa nao tatizo hili liliwapata.
My take
TFDA kama mnadhani huu uzi ni wa kuchafuliana biashara, chukueni sample ya hizi dawa zilizozagaa nchi nzima na huko kwenye mapharmacy ndio zinauzwa kama njugu na watu wanazinunua sana kwa sababu ni bei rahisi.
Baada ya kuzichukua zifanyieni uchunguzi ikibidi na nyie mnywe kabisa ili muone matokeo yake. Hizi dawa ni feki matokeo yake ndio magonjwa ya cancer yanayotuuwa kila siku.
Chukueni Tadhadhari

Ndugu zangu tatizo sio dawa ila tatizo ni watumiaji wanakuwa na mzio (allergy) na dawa hizo, kiufupi wanakuwa allergic to sulphur. Ingawa dawa hizo hazipendekezwi na wizara ya afya ya Tanzania kwa matibabu ya malaria. Ila inaweza kutumika kwa wajawazito kama kinga tu.