Jicho linaanza kuweka mtoto wa jicho

Melanny

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,247
2,205
Habari wapendwa,

Naomba kujuzwa kama naweza tibiwa tatizo la mtoto wa jicho na likapona. limeanza kidogo naona linaendelea.

Ningependa kujuzwa na gharama zikoje.
 
Nenda hospital ukafanyiwe check up na kisha ufanyiwe operation ndogo ya jicho
 
Hata kibaha,mitaa ile ya mizani ya zamani kuna hospitali pale wanafanya kwa gharama nafuu sana...
 
Kibaha mpakani niliwahi kwenda kuna hospital ya macho inaitwa medwel lcharitable hospital japo ipo ndani imejificha ola watu nyomi na kuna idadi maalumu ya kushughulikia watu kuwa siku unaweza kufika saa Moja lkn unakuta umechelewa namba umekosa , watu wengi wanaisifu kuna huduma bora kwa bei nafuu.
 
Yes ndiyo hiyo inaitwa Medwell nilisahau jina lake.Wale wanapata ufadhili kutoka nchi za kiarabu kwa hiyo wana vifaa na wataalamu wa kutosha...
 
Kibaha mpakani niliwahi kwenda kuna hospital ya macho inaitwa medwel lcharitable hospital japo ipo ndani imejificha ola watu nyomi na kuna idadi maalumu ya kushughulikia watu kuwa siku unaweza kufika saa Moja lkn unakuta umechelewa namba umekosa , watu wengi wanaisifu kuna huduma bora kwa bei nafuu.
Asante,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom