Mkulu wawe
Member
- Mar 4, 2020
- 88
- 116
Wakuu siku nne zilizopita kuna ka upele kadogo kaliota juu kidogo ya goti mimi nikaona kameiva nikakatumbua. Sasa kamekuwa kero, maana ukubwa wake umeongezeka maradufu halafu naumia, naombeni ushauri wa dawa ya kutumia.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.