Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 548
- 475
Habari zenu mimi nilikuwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kukosa choo.
Nilifanyiwa upasuaji (operation) hospitali ya Mloganzila mara mbili mwezi wa 5 na mwezi wa 7 mwaka 2021 sasa, nimekuja kwenu tatizo hilo naona kama linarudi yaan nikila mchana tumbo linajaa gesi na hamu ya kula usiku nnakuwa sina nimetumia vidonge vya kupunguza gesi lakini pia choo nachopata kinakuwa cha mvurugo (kuharisha)sio kile choo cha kawaida still bado tatizo lipo.
Naombeni msaada ni hilo tu.