Mke wangu amepata tatizo hili baada ya kujifungua

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Habari.

Mke wangu alijifungua now ni siku ya nne ilikuwa njia ya kawaida,alichanika msamba na waliweza kumshona.

Sasa kinachoendelea hadi leo sehemu zake za siri inatoka harufu kali yenye majimaji yenye uchafu wa rangi ya maziwa na pia anahisi maumivu ukeni.

Msaada katika hili wakuu.
 
Habari.

Mke wangu alijifungua now ni siku ya nne ilikuwa njia ya kawaida,alichanika msamba na waliweza kumshona.

Sasa kinachoendelea hadi leo sehemu zake za siri inatoka harufu kali yenye majimaji yenye uchafu wa rangi ya maziwa na pia ana hisi maumivu ukeni.

Msaada katika hili wakuu.
Mpeleke hospital mara moja. Hapa watu watakusaidije?
 
Hehehehe you can't b serious

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
I lost a job,i have a twins baby all of them theirs take a Lactogen milk 2 bottle per week,

I have a worse situation,but thanks lord I'm still survival.

Now niko hom na mke wangu naogopa hapa nikirudi hospitali niandae kama 50K na kwa sasa kitega uchumi ninachokitegemea ni pikipiki ya mkataba nilimpa mtu naye ananizingua kwa hesabu.
 
Back
Top Bottom