Ni muda mrefu sasa naumwa ila nashindwa kuelewa hasa ninachoumwa

MBUZI MWENYE BUSARA

Senior Member
Nov 24, 2019
143
151
Habari wadau wa hili jukwaa?

Naomba niende kwenye mada hii.

Jamani Mimi kwa muda sasa naumwa ila nashindwa keelewa hasa ninancho umwa.

Kwanza tatizo lenyewe ni kama la vdonda vya tumbo lakini kama dalili zinanichanganya kidogo na nimepimwa H PILORI na iko negative.

Dalili ambazo nazipata ambayo Mara nyingi hubadilika pia tumbo kuwaka moto ninapokula vyakula vyenye viungo vingi n.k

Lakini pia nikichelewa kula napatwa na maumivu makali tumboni ambayo madhara yake ni kukosa nguvu, kukohoa, macho kushindwa kuona vizuri, kupata vichomi mgongoni, visigino kuumwa, magoti kuumwa na kutoa milio nikisimama na kutembea kama nilikuwa nimekaa. Ngozi kuwasha hasa usoni, kupiga chafya, meno kufa ganzi kupata usingizi mzito n.k!!!

Wataalam naomba kufahamu kama hizi ni dalili la vidonda vya tumbo au excess of uric acid mwilini? Naomba kuishia hapo kwanza ili muwezi kunijibu kwanza halafu tutaendelea.
 
Kapime kwa uangalifu, pata opinions tofauti tofauti, wekeza hata milioni kwenye vipimo
 
Ni vyema kufika hospitali ili kupata mahojiano zaidi na examination. Binafsi naweza kuwa na mawazo mawili:
1: Gastritis- kututumka kwa njia ya chakula
2: Viral infection/virusi- hasa maelezo zaidi kwenye chafya umekuwa nazo kwa urefu muda gani.

kuna mengi yanahitajika kujulikama masuala kama unapata:
-vichomi
-ganzi
-kusikia tumbo kuwa zito na kama linakaza
-kutoka jasho sana
-kizunguzungu
 
Ungeonana na daktari wa magonjwa ya tumbo. Unaweza kuwa na peptic ulcer. Sio kila mwenye ulcer anakuwa h pylori positive. Wengine hawana kabisa h pylori ila ulcers wanazo.
 
Nadhani ni tatizo la vidonda vya tumbo au duodenal ulcers kwa hizo dalili. Ila clicking sound ya magoti ni kukosa cartilage kwenye maungio ya magotini.
 
Mkuu vidonda vya tumbo hupimwa kwa kutumia endoscopy na si vingine, binafsi sina hao hpylory lakin baada ya kufanyiwa kipimo hicho nilionekana nina michubuko kwenye utumbo ambayo ndiyo vidonda vya tumbo sasa vilivyosababishwa na kuzidi kwa acid mwilini, na dalili ambazo zimekuwa zikinisumbua ni hizo ulizozitaja. Hivyo nashauri uende hosp ukafanyiwe vipimo hivyo.
 
Asante sana Mkuu! Je baada ya kuonekana tatizo Hilo ulitumia dawa gani?
 
Habari wadau wa hili jukwaa?

Naomba niende kwenye mada hii.

Jamani Mimi kwa muda sasa naumwa ila nashindwa keelewa hasa ninancho umwa.

Kwanza tatizo lenyewe ni kama la vdonda vya tumbo lakini kama dalili zinanichanganya kidogo na nimepimwa H PILORI na iko negative.

Dalili ambazo nazipata ambayo Mara nyingi hubadilika pia tumbo kuwaka moto ninapokula vyakula vyenye viungo vingi n.k

Lakini pia nikichelewa kula napatwa na maumivu makali tumboni ambayo madhara yake ni kukosa nguvu, kukohoa, macho kushindwa kuona vizuri, kupata vichomi mgongoni, visigino kuumwa, magoti kuumwa na kutoa milio nikisimama na kutembea kama nilikuwa nimekaa. Ngozi kuwasha hasa usoni, kupiga chafya, meno kufa ganzi kupata usingizi mzito n.k!!!

Wataalam naomba kufahamu kama hizi ni dalili la vidonda vya tumbo au excess of uric acid mwilini? Naomba kuishia hapo kwanza ili muwezi kunijibu kwanza halafu tutaendelea.
Nenda ukapimwe Hospitali akapimwe damu na mkojo ili tupate kujuwa unayo maradhi gani mwilini mwako. Kama wadau wanavyosema huenda unayo maradhi ya vidonda vya tumbo au unayo maradhi ya Asidi imezidi mwilini mwako kwa sababu ya kula vyakula vyenye asidi nyingi . Au huenda una Upungufu wa Vitamin na madini mwilini mwako ndio inayo kusababisha upate na hayo maradhi bora kapime hospitali uje utupe mrejesho wako uguwa pole.

HOW ACID FOODS AFFECT THE BODY

HOW ACID FOODS AFFECT THE BODY.jpg
 
View attachment 2066198

Asante kwa ushauri mkuu. Hakika nitaleta mrejesho
 
Asante sana Mkuu! Je baada ya kuonekana tatizo Hilo ulitumia dawa gani?
Mkuu tunavyoongea hivi ninaendelea na dozi ya dawa zinaitwa "pantocid " pamoja na hizi za antacid za maji. Maendeleo yangu ni mazuri.
Nilitumia sana dawa za kienyeji hakuna kitu mpaka nikachoka nikaamua kurudi hosp tu.
 
Habari wadau wa hili jukwaa?

Naomba niende kwenye mada hii.

Jamani Mimi kwa muda sasa naumwa ila nashindwa keelewa hasa ninancho umwa.

Kwanza tatizo lenyewe ni kama la vdonda vya tumbo lakini kama dalili zinanichanganya kidogo na nimepimwa H PILORI na iko negative.

Dalili ambazo nazipata ambayo Mara nyingi hubadilika pia tumbo kuwaka moto ninapokula vyakula vyenye viungo vingi n.k

Lakini pia nikichelewa kula napatwa na maumivu makali tumboni ambayo madhara yake ni kukosa nguvu, kukohoa, macho kushindwa kuona vizuri, kupata vichomi mgongoni, visigino kuumwa, magoti kuumwa na kutoa milio nikisimama na kutembea kama nilikuwa nimekaa. Ngozi kuwasha hasa usoni, kupiga chafya, meno kufa ganzi kupata usingizi mzito n.k!!!

Wataalam naomba kufahamu kama hizi ni dalili la vidonda vya tumbo au excess of uric acid mwilini? Naomba kuishia hapo kwanza ili muwezi kunijibu kwanza halafu tutaendelea.

Angalia kwanza matibabu, mbele huko angalia PH scale, Alkaline food. Balance tumboni.

Mwili unafanya kazi kubwa ukiwa unapewa vitendea kazi (chakula sahihi) kupambana na wageni.

Kuna jeshi la ulinzi ndani ya mwili wako (natural immunity), muhimu kuliimarisha.

Kila msosi, angalia unapata balance diet.
 
Mkuu tunavyoongea hivi ninaendelea na dozi ya dawa zinaitwa "pantocid " pamoja na hizi za antacid za maji. Maendeleo yangu ni mazuri.
Nilitumia sana dawa za kienyeji hakuna kitu mpaka nikachoka nikaamua kurudi hosp tu.

Asante mkuu nitaenda kupima
 
Habari wadau wa hili jukwaa?

Naomba niende kwenye mada hii.

Jamani Mimi kwa muda sasa naumwa ila nashindwa keelewa hasa ninancho umwa.

Kwanza tatizo lenyewe ni kama la vdonda vya tumbo lakini kama dalili zinanichanganya kidogo na nimepimwa H PILORI na iko negative.

Dalili ambazo nazipata ambayo Mara nyingi hubadilika pia tumbo kuwaka moto ninapokula vyakula vyenye viungo vingi n.k

Lakini pia nikichelewa kula napatwa na maumivu makali tumboni ambayo madhara yake ni kukosa nguvu, kukohoa, macho kushindwa kuona vizuri, kupata vichomi mgongoni, visigino kuumwa, magoti kuumwa na kutoa milio nikisimama na kutembea kama nilikuwa nimekaa. Ngozi kuwasha hasa usoni, kupiga chafya, meno kufa ganzi kupata usingizi mzito n.k!!!

Wataalam naomba kufahamu kama hizi ni dalili la vidonda vya tumbo au excess of uric acid mwilini? Naomba kuishia hapo kwanza ili muwezi kunijibu kwanza halafu tutaendelea.
Pamoja na vipimo na yote unayotarajia kufanya, jitahidi sana kupunguza acidity kwenye mwili wako. Anza kufanya detoxing mwenyewe kwa vyakula vyenye kuongeza alkalinity kwenye mwili wako. Then endelea na vipimo unavyotaka kufanya.
 
Asante kwa ushauri. Nitafanya hivyo japo kutokana na mahangaiko ya kujitafutia mkate kuna mazingira mengine huwa ngumu kukwepa hivi vyakula.
 
Back
Top Bottom