Ajabu: Mme wangu ana korodani 3

Ajabu: Mme wangu ana korodani 3

shangwe shangwe

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
108
Reaction score
24
Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi korodani hilo humuuma,na nguvu zake za kiume zinazidi kupungua sana. Tusaidieni kwa ushauri.
 
This is issue is very serious Kaunga Invisible kwa nini usiitupie mmu kule itachangiwa huku tokea saa 12 ilivyoweka comment moja tu
 
Last edited by a moderator:
muhimbili kuna madaktari bingwa wa magonjwa mengi....mungeanzia huko kwanza...
 
Aende hospital, isije turn into malignant
 
sasa mnataka aende hospitali ili waitoe iyo ilozidi? iyo ndo inafaa aiache itumike kama gia ya four wheel nguvu za kiume zikimpungua
 
Huu utani ni mbaya sasa! Shida ya Jf utani na masikhara hufanywa katika kila jambo!

Namshauri mdada aende hospitali yoyote iliyokaribu naye (Si zahanati)
 
Hilo la tatu siyo korodani itakuwa ni uvimbe huo!Ni bora mkawahi hospitali kuiepuka kansa.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida) ina mana siku zote hukumuona? Huo utakua ni uvimbe na sio makende. So wahi hosptal kwa matibabu kuepuka saratani ya mfuko wa uzazi!
 
Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi korodani hilo humuuma,na nguvu zake za kiume zinazidi kupungua sana. Tusaidieni kwa ushauri.
kaazi kweli kweli, yaani tatizo siliaz kama hilo unalifanyia porojo? Unamdhalilisha mmeo? Hebu nendeni hospitali mara moja, hili halihitaji kujadiliwa hapa JF! Enheee... nimekumbuka, kwanza wewe ulijuaje kama wanaume wengine wanazo mbili, tofauti na tatu za mmeo?
 
Hakuna cha zaidi ya kwenda hospitali na muende kwa hospitali za maanazinazoeleka,mkienda za serikali hakikisha mnamuona daktrari bingwa.
 
Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi korodani hilo humuuma,na nguvu zake za kiume zinazidi kupungua sana. Tusaidieni kwa ushauri.

Amesha kuzalisha watoto wangapi kwani?
 
Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi korodani hilo humuuma,na nguvu zake za kiume zinazidi kupungua sana. Tusaidieni kwa ushauri.

Unapata walao ibada ya ushirika kwenye madhabahu yenu huko chumbani?...aende huspitali apate ushauri, naw nirudi kwako, mvumilie, ibada za ushirika zinapokuwa hazitsohelezi usimpe kibaka yeyute, mi kama,mwanandoa mwaminifu,yeyote anaingilia ndoa ya mtu,kuchukua mme au mke huwa namwita kibaka wa ndoa...
 
Huyu bwana hajawahi kwenda hospital? Nenda mbio, sio sifa kuwa na mauvimbe ...
 
Huo utakuwa uvimbe sio korodan ngumu!
 
sasa mnataka aende hospitali ili waitoe iyo ilozidi? iyo ndo inafaa aiache itumike kama gia ya four wheel nguvu za kiume zikimpungua
Ha ha ha umenivunja mbavu,huu sasa sio u great thinker ni uchakachuaji mbna mkuu una mawazo ya ajabu hivi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom