Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wanaJF, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Kwa sasa ni mwanafunzi wa moja ya chuo kikuu nchini, nilipatwa na tatizo la kupiga makelele au mivumo masikioni mwaka 2016. Nimesumbuliwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za jioni waungwana wenzangu.mimi nasumbuliwa na vipele maeneo ya karibu na shingo ambapo ndio nywele za kichwa huishia. Je shida ni nini na dawa yake ni ipi naomba msaada wenu.aksante...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Samahani wa ungwana ni mara ya tatu tena nakuja kwenu. Bado nauguza vidonda nilivyovipata huko nyuma kwa matibabu ya bawasiri yasio sahihi. Nataka nikipona vidonda niende hospital kwa matibabu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ugonjwa wa kudhoofu kwa mifupa (Osteoporosis). -Ugonjwa huu hufanya mifupa iwe dhaifu, ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi pasipo kuhitaji mgandamizo mkubwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Usikivu hafifu ni tatizo kubwa na linalokua Tanzania; lakini linaweza kupungua kama mamlaka husika zikitimiza wajibu wao kisheria kwa dhati. Naanza na mfano mdogo wa kuonesha ukubwa wa tatizo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani hebu wataalamu niambieni. Maana mie ngoma ninayo miaka 20+ situmii ARV lakini nimepima zile oral mara tatu zote zinasoma negative. Sasa sijaelewa hii inakuwaje
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari Naomba kufahamu hili ni tatizo gani? limesababishwa na nini? na kuhusu tiba yake pia tafadhali.
5 Reactions
117 Replies
10K Views
Habari zenu wana JF, Rafiki yangu aliyeangukiwa na kitu kizito kichwani hali yake ni taabani. Kwa hospito wanatuambia kuwa ameingia kwenye Coma Daktari anaendelea kwa kusema huenda akakaa kwenye...
2 Reactions
9 Replies
819 Views
Haya madoa yametokea tu kwenye vidole gumba yanaashiria nini? Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Habari zenu? Nimevurugwa Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au haimo?
5 Reactions
86 Replies
4K Views
Dawa hizi muhimu za binadamu zinauzika mno mtaani, mijini na vijijini. Soko lake ni pana na kubwa mno kwa sasa. Store hazikai kabisa, mzigo unatembea fasta mwendo wa ngiri kwenye soko la madawa...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Manjano na asali imekuwa tiba iliyokuwa ikinisaidia sana katika makuzi yangu endapo nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi. Unachanganya manjano kwenye asali, pia siku zingine unakamulia maji maji ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Madaktari na wafamasia, watu wengi tumekuwa tukitumia mafuta ya breki kujitibu mba. Nimepita mahali nimesikia yana madhara. Naomba kujua yana madhara gani?
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Uvula ni sehemu ndogo inayoning'inia nyuma la Koo ambayo inajulikana kwa jina maarufu zaidi kama Kidaka tonge au Kilimi. Kiungo hiki hakipatikani kwa Wanyama wengine zaidi ya Binadamu (Mammals)...
0 Reactions
1 Replies
603 Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Kwenu madoctor wa JF Nomba minisaidie, nina tatizo moja, nina kula sana udongo (huku kwetu kanda ya ziwa zinaitwa pemba) nahitaji kujua zaidi ya...
1 Reactions
133 Replies
108K Views
Jamani niliugua kitu kinafanana na red eyes,, mishipa ikion jua ikawa inauma sana. Nikaenda hapa Bugando polyclini near Mwanza nikapimwa nikapewa daw ya maji..nimetumia ika wa unafuu ikawa hakuna...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Ikitokea nimeigusa pua tu basi zinaanza kumiminika chafya nyiiingi hadi kero, Nikipisha na mtu aliyejipulizia unyunyu tu, chafya zinanitoka si za nchi hii, Shemeji yenu akiwa anakarangiza na ile...
1 Reactions
9 Replies
807 Views
Habar wakuu Leo nimean, tengeneza juis inayotokana namboga mboga za majani...yaan kama mchicha na kisamvu nachukua Kisha naweka ktk heavy duty juicer inakamua zile mboga mboga napata kimiminika...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu, Tunaomba ushauri wenu, wapi kwa Dar anapatikana Daktari ambaye ni specialist wa magonjwa ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi sana ambao wamekuwa wanatupigia simu wakitaka...
3 Reactions
498 Replies
339K Views
Salaam! Nauliza nini kinasababisha mwanamke kupata kizunguzungu kikali wakati anapokuwa period au baada ya kumaliza period?( mpaka anashindwa kufanya chochote ni kupumzika tu). Hali hii inaweza...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…