Niende moja kwa moja kwenye mada.
Wakuu ni dawa gani inaweza kutibu viuvimbe na vidonda sehemu ya haja kubwa,na wakati wa kujisaidia damu inamwagika na maumivu makali,
pia vinawasha sana...
Wana jamvi habari.
Ningependa kufahamu nini hasa chanzo cha ugonjwa wa uvimbe wa mifupa ya kwenye joint(rheumatoid arthritis) pamoja na maumivu makali sanjari na viungo kuka kamaa/stiffness
hasa...
Habari wanajf naomba ushauri ninandugu yangu kapimwa akaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis na kwa mjibu wa madactari niliowaulizia kuhusu huu ugonjwa wanasema huu ugonjwa hauna dawa ya...
kwanza Namshukuru sana M/Mungu mimi tangu nijitambue sijawahi kutumia dawa tofauti na za maumivu na mafua!
Wakuu nikimeza dawa hizi, muda mfupi baadae nakojoa mkojo wenye harufu ya vidonge...
Habari zenu wana Jf?
Moja kwa moja kwenye mada, hivi karibuni nimeanza ku experience muwasho sana kwenye uume pale karibu na kichwa, mwanzo ulikuwa muwasho tu na mchubuko kidogo ila sasa naona...
Habari za leo
Ninaomba ushauri kutokana na changamoto inaomkabili mke wangu leo siku ya 11 tangu ajifungue tarehe 5 February 2024.
Ilikuwa hivi mke wangu alikua na changamoto ya uchache wa damu...
Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume.
Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia...
Presha ni ugonjwa unaosababisha vifo na ulemavu wa kudumu. Unaweza kudhibiti presha na kuepuka madhara yake kama utachukua hatua stahiki mapema. Ila....
Ubaya wa ugonjwa huu ni kwamba presha...
Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua ili kuweza kurejesha hali yake kuwa sawa na pia aweze kuwa na maziwa mengi kwaajili ya kumnyonyesha mtoto?
Jamani kwema?
Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo...
Meno Legelege ni nini?
Meno yaliyolegea ni ya kawaida kwa watoto. Wana meno ya maziwa ambayo hatua kwa hatua huchukua nafasi ya meno ya kudumu. Lakini meno huru kwa watu wazima ni suala la...
Naombeni kufahamishwa kuhusu hili nilikuwa natatizo kipindi fulani ila nikaitumia hii dawa nikapona. Sasa nataka nijue je kuna madhara kutumia mara kwa mara kama utapata magojwa tena au la...
Habari za muda huu,naomba kufahamishwa kuhusu tatizo la kushindwa kufanya kazi figo.kuna jamaa zangu wawili na ndugu tangu mmoja wamefariki kwa tatizo hilo.naomba kujua yafuatayo
1.tatizo hili...
-Habari za majukumu?
Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya
-Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua...
Mwenzenu kwa muda mrefu sasa nimekuwa na tatizo la kuwashwa sana kwenye unyayo wa miguu tena kwa kubadilika badilika miguu.
Aidha wakati mwingine nimekuwa na tatizo la kuwashwa sana kwenye...
Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa ana allergy sasa
Samaki
Maziwa ya unga na ng'ombe
Karanga
Dagaa
Soya maharagwe
Korosho
Vyakula vyenye rangirangi
Uji wa lishe
Sasa wakuu huyu anapewa vyakula...
Hivi tatizo la kupoteza usikivu linasababishwa na nini? Na je kuna njia zingine za kutibu tofauti na kutumia hearing aid?
Kama kuna mtu mwenye namba za mtaalamu naomba anisaidie tafadhali...