Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari za msimu huu wa Kombe la Dunia Wana-JamiiForums! Mambo yamepamba moto, na ratiba ya mechi za usiku inatupa burudani sana. Scenario iko hivi: Mechi imeisha saa sita au saa nane usiku...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Wanasayansi wanatumaini kuwa utafiti huu mpya utakuwa "mwanzo wa sayansi ya kisimi". Hatimaye wamefanikiwa kuchora ramani ya neva za kisimi, miaka mingi baada ya ramani ya neva za uume kuchorwa...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Wakuu Kweli huu mwili wangu hauna shukrani kabisa🥵
10 Reactions
115 Replies
909 Views
Wagonjwa wa Kisukari wanapaswa kuwa makini wanapoondoa nywele zao kutokana na hatari za kuumia ngozi. Hali ya Kisukari mara nyingi husababisha ngozi kuwa laini na mzunguko wa damu kuwa dhaifu...
1 Reactions
1 Replies
70 Views
Nimertumia sana asali, ginger, kitunguu swaaumu limao,. Nimepiga hizo setrizine ila wapi Nimepiga syrups nyingi sana na antibiotics Ila wapi Ngoma wala moyo sina... Nisaidieni dawa bora...
0 Reactions
7 Replies
254 Views
Wakuu kuna dawa gani ya kienyeji ya koo linalouma? Hospitalini napewa tu brufen na anti-biotics ila wapi Karibuni
1 Reactions
7 Replies
123 Views
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Jairy Khanga ameeleza kwa kina kuhusu utekelezwaji wa Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) Programme katika mkoa wake. Alibainisha maeneo...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
1.🖇️ Uvutaji wa sigara 2.🖇️ Unywaji wa pombe 3.🖇️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk 4.🖇️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula...
2 Reactions
6 Replies
131 Views
AINA ZA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME Kwa bahati mbaya, wanaume wengi hukosa tiba sahihi za nguvu za kiume kwa kushindwa kutambua tatizo husika na dawa wanazopewa zinatibu tatizo gani. Zifuatazo ni...
2 Reactions
11 Replies
488 Views
Binafsi nna mtoto na mwanamke mwingine ila kwa Sasa naishi na mwanamke mwingine tunapitia ugumu kupata ujauzito Sitaki kumlaum mwenzangu natamani nipate hospitali yenye gharama nafuu Dar es...
5 Reactions
5 Replies
192 Views
Dawa zote zinazopatikana mahospitalini na maduka ya madawa zinaletwa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali, japokua baadhi ya dawa hizo huambatana na madhara madogo na makubwa kwenye mwili wa...
6 Reactions
17 Replies
9K Views
Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia. Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani...
7 Reactions
152 Replies
6K Views
Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
6 Reactions
58 Replies
4K Views
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali...
4 Reactions
3 Replies
259 Views
Wakuu naomba msaada. Nina homa kwa siku 4 sasa. Mwili unachemka, viungo vinauma, najisikia mchovu sana na sina hamu ya kula. Nimemaliza dozi jana usiku lakini bado sijapata nafuu. Ningependa...
8 Reactions
45 Replies
529 Views
Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba, si kwa ajili ya afya. Nimegundua watu wengi huangalia chakula kwa lengo la kushiba tu bila kujali virutubisho au athari zake kiafya. Mara nyingi...
2 Reactions
5 Replies
188 Views
Nipo hapa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga Kitengo cha Mifupa (MOI) nina mgonjwa ambaye tayari anaingia wiki ya pili tangu alazwe. Changamoto kubwa ni kuwa mgonjwa ana tatizo la mshipa...
6 Reactions
28 Replies
579 Views
Wana Jamii, Nimeamua kuandika hapa nikiomba ushauri na maombi kwa sababu nina tatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda mrefu. Tatizo langu: Kwa miezi kadhaa sasa, nimekuwa nikisikia sauti na...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Habri za siku nyingi vipendhy nimerudi tena mgonjwa wenu baadhi ya siku napatwa na hali ya moyo kwenda mbio sana na maskio km yanalia ziiiiiiii na nilishawahi kupima ecg nikaambiwa ipo normal kitu...
4 Reactions
13 Replies
308 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…