Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ni kama wiki hivi sina hamu ya tendo la ndoa, wala nikiamka asubuhi sioni kama mshedede unasimama! Nikawa najiuliza nimepatww na nini? yaan unakuta kanyamakazi kamesinyaaw😳…. Sasa juzi homa...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
After promising results in monkeys, scientists plan to test the new treatment in a few people with H.I.V. A colored scanning electron micrograph of a human cell infected with H.I.V., in...
0 Reactions
1 Replies
547 Views
Wanabodi, salaam! Ni mwaka sasa hili tatizo linanisumbua ( kikohozi kikavu) nimeenda hospitali mpaka nimechoka, nimekunywa dawa za hospitali na kienyeji mpaka nimechoka; kikohozi hakiponi...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Ndugu zangu nina tatizo linalonisumbua sana siku izi ambalo sikuwa nalo apo mwanzo ili kuwa ijuma ine nilipata ajali nikiwa Moyo wangu ukakata tamaa ya kuishi maana nilivyokuwa najisikia hakika...
0 Reactions
22 Replies
15K Views
Jamani wapendwa ninaomba msaada wa tiba ya tatizo la maskio kusikia kelele Nina miaka 5 Sasa sijapata suluhisho .
1 Reactions
8 Replies
955 Views
Jf doctors na wadau naomba msaada wa mawazo, mtoto ni wa mwaka mmoja ni wa kike nifanyeje ili kutibu tatizo
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Baada ya kulalamika kwa muda mrefu kuhusu vidonda vya tumbo nilihamua kwenda hospital yenye vipimo vinavyoweza kuonyesha tumboni vidonda vya tumbo vimenihathiri kwa ukubwa gani...
0 Reactions
38 Replies
43K Views
Maelezo ya picha,Dawa inayotumiwa kuosha mdomo Kuosha mdomo kunasaidia kupunguza maambukizi ya kisonono,watafiti wanaamini. Utafiti wa hivi majuzi umeonyesha kwamba binaadamu wanaweza kubeba...
1 Reactions
0 Replies
603 Views
Maelezo ya picha,"Nilidhani mpenzi wangu anaenda nje nilipouguzwa HPV" Utafiti mpya umebaini kuwa viwango vya juu vya ukosefu wa kujua pamoja na fedheha inayohusishwa na virusi vinavyosababisha...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Magonjwa mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao. Hawa ni bakteria wanne ambao husababisha magonjwa makali ya zinaa ambayo yanaweza kuleta tishio la...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Na WAF - Dodoma Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya kwa wote pale mchakato utakapoanza...
0 Reactions
1 Replies
492 Views
Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wana Jf,Nini ni husababisha mwanamke kukaukiwa na majimaji ukeni wakati wa tendo la ndoa na baadae kuanza kupata mchubuko,na nini kifanyike ili kutibu tatizo hilo,Mwanzo nilidhani kumuandaa...
7 Reactions
65 Replies
9K Views
Hellow guys, Mimi ni Mwanamke wa miaka 25 mpaka sasa, nina mume na nampenda sana. Tabia ya kujichua niliianza mwaka 2019 nikiwa Chuo mwaka wa kwanza ambapo Ex-boyfriend wangu aliniambia...
18 Reactions
66 Replies
5K Views
Mnisaidie kusoma majibu ya hicho kipimo.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden. Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025. Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna...
9 Reactions
111 Replies
3K Views
Wadau Habari zenu, Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu poleni na majukumu. Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe. Je, tatizo nini itakuwa?
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada...
44 Reactions
1K Replies
371K Views
Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini 1. Ukimuita jina lake hageuki 2. Anapiga makelele tu 3.kuna wakati...
30 Reactions
223 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…