Habari wakuu msaada wenu tafdhali,
Nimekuwa na tatizo la thyroids miez 7 sasa niko katika dozi. Hali imepekea kupungua sana kwa nguvu za kiume yaani shemeji yenu nikimuandaa hali uume...
Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya...
Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa muziki sana, napenda kusikiliza na kutengeneza muziki. Sometimes...
1. Kusaidia Kutoa Gesi na kinyesi: Kujamba husaidia kutoa gesi na kinyesi ambazo mwili umekusanya, na hivyo kusaidia kuzuia matatizo kama vile uchungu au kuhisi kukojoa mara kwa mara.
2. Kusaidia...
Wakuu naomba kuelewa kwa yeyote anayejua au kushudia matibabu ya Tezi dume bila upasuaji na mgongwa kupona kabisa na hayo matibabu yanapatikana wapi?
Nitafurahi zaidi...
Katika sekta ya afya kuna mtaalamu Professor Janabi, ambae mara nyingi anaponda ulaji wa misosi ya kawaida lakini hadikiki akikemea dhidi ya bidhaa hafifu ama bidhaa haribifu kwa afya ama kutoa...
Kuna hii hali masikio kupiga kelele kama vile kengele, muungurumo, etc
Inaweeza kuambatana na masiko kuuma, pressure masikioni, kichwa kuumwa, etc.
Kama uliwahi kupatwa na hili janga ukapona...
Habari zenu wakuu..
Kama kichwa kinavojieleza, kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya non living pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa...
Nipeni mawazo na msaada wenu,
Nimetembea na wanawake zaidi ya 8 bila kinga, lengo ni kutafuta mtoto lakini cha ajabu hakuna hata mmoja niliyempa mimba.
Tatizo ni nini wanajamii
Tarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini.
Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative...
Habari wakuu, nimekua na tatizo la kupigwa shoti mwilini hasa nishikapo materials tofauti(kasoro plastic) bt aluminium,chuma bt hata vitasa vya gari au gari yenyewe, hali hii hunitokea mara moja...
Tumesheenda hospitali mara 3 ila na kupewa madawa ya allergy, topical creams na sabuni, dawa za mchafuko wa damu ila bado hali hii inajirudia.
Vipele vipo kwapani na miguu
Karibuni wakuu.
Ipi ni tiba sahihi kutibu tatizo la uume kelegea mbali na hizi dawa za asili zinazotrend sana mtandaoni?
Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
Kimsingi kulia ni jambo linalofungamanishwa na HISIA. Na mara zote si LAZIMA iwe ni huzuni tu hata katika Furaha ya dhati huwa tunatokwa na machozi. Na hii utaiona Kwa wanyama wote kwani wao pia...
Habari wana JamiiForums.
Nimekuja mbele yenu kuzungumza na wale wenye tatizo la tumbo kuunguruma, Mimi ni moja wenu na tatizo hili limenisumbua kwa muda sasa lakini hivi karibuni nimepata nafuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.