Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini 1. Ukimuita jina lake hageuki 2. Anapiga makelele tu 3.kuna wakati...
30 Reactions
223 Replies
11K Views
Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 18 zilizopita. Nimempeleka hospital ya Benjamini Mkapa . Kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku. Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Habari zenu wana JF!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya. Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina...
15 Reactions
398 Replies
148K Views
Je, ni kweli viporo vinadumaza mwili na akili.
4 Reactions
12 Replies
754 Views
Katika kupita pita kwenye mtandao nilikutana na calories calculator hii hapa http://bit.ly/1qDxrrO ambayo, inakokotoa calorie unazotakiwa ule kwasiku hiyo ni kutokana umri ,kilo zako na urefu...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ugali na nyama ya utumbo wa ng'ombe kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo inafaa au haifai? Wakuu naombeni mnijulishe.
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wiki ya Unyonyeshaji Duniani hufanyika katika wiki ya kwanza ya Agosti kila mwaka, (Agosti 1-7) Kaulimbiu ya mwaka 2024 ni Kuziba Pengo: Msaada wa Unyonyeshaji kwa Wote, ikilenga kuwaandimisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini madaktari. mtoto wangu wa miaka 8 amepata tatizo la chronic tonsils ( nilisikia madaktari wakisema kuwa hizo tezi zimekuwa septic. ameandikiwa sindano kwa siku 7 sindano hiyo inaitwa...
4 Reactions
22 Replies
42K Views
Denis Mpagaze 1. Haya matunda watu wa Songwe, Mbeya, Iringa na Njombe wanayaita masongwe; wahaya, wanyambo na waganda wanayaita tuntunu! 2. Waha, warundi na wanyarwanda wanayaita intumbaswa...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu anaitwa Francves ndio jina lake halisi ni kuruta mstafu wa jeshi.....mwaka 2006 alikutwa na High Blood Pressure. So, nini maana ya presha ya juu ya damu acheni ujinga nafundisha masomo afu...
0 Reactions
3 Replies
695 Views
Some dental anesthetics and Vitamin B12 injections now contain Graphene August 6, 2024 By Diana Wojtkowiak- MD, PhD Image courtesy: Graphene Oxide TEM Substrates Graphene Oxide TEM Substrates –...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana JF Mimi ni mmoja wanaopenda sana watoto mapacha, tena mapacha wanaofanana hasa wakiwa wa kike! Je, kuna njia yoyote ya kitaalam au hata ya kienyeji, au dawa iwe ya kisasa au ya kienyeji...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawauliza wataalamu wa Afya, hususani Damu. Je, mtu anayetumia Pombe na Sigara haruhusiwi kumchangia mtu Damu? Kama ni kweli, Kwa nini? Ndugu yangu ameshindwa kumchangia Mgonjwa Damu kwa sababu...
1 Reactions
3 Replies
521 Views
Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania wanaoshtua yaani kutumia kilevi ( pombe) ili kuchangamka Na kuongeza confidence, nilikuwa nikitumia pombe kwa kiasi kikubwa kesho yake Basi naamka Na...
5 Reactions
13 Replies
974 Views
Kiukweli hata mimi huwa ninaogopa baadhi ya mambo yakinisibu, lakini huwa najipa Moyo kuwa yatapita tu. Hata Liwe Jambo kubwa kiasi gani najipa moyo mwenyewe tu kuwa nitatoboa tu. Na mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Montelukast sodium 10g Amepewa mtoto wa miezi saba. Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko tu poa...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu, hili imeanza muda lakn sasa hivi imeshika kasi, yani ipo hivi naweza kuwa nimelala au nimekaa au nafanya mishe yeyote lakini ghafla nikapata mshtuko hadi watu wa karibu...
2 Reactions
42 Replies
1K Views
Bamia ni mboga yenye umuhimu mkubwa katika lishe yetu na maji yake yana faida nyingi kwa afya. Mbali na kutumiwa kama sehemu ya mboga kwenye mchuzi au rosti ya mboga, maji ya bamia yana umuhimu...
1 Reactions
3 Replies
17K Views
Back
Top Bottom