Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Masturbation ina faida kadhaa kwa afya na ustawi wa mtu binafsi, lakini ni jambo la binafsi na inaweza kuwa na athari chanya na hasi pia. Kwa hivyo ni vyema kutambua faida zake na kuishi katika...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake. Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital...
6 Reactions
6 Replies
543 Views
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini. Baada ya kwenda kupima niligundulika nina...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
SABABU ZA MWANAUME KUKOSA MBEGU ZA UZAZI TATIZO la mwanaume kukosa mbegu za uzazi kitaalam huitwa ‘azoospermia’ au ‘medical condition’. Ni tatizo linaloathiri wanaume wa rika tofauti. Katika...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu Nahitaji kumnunulia kijana mmoja neck support (nimeattach picha). Alipata ajari sasa shingo ameambiwa na madr inatakiwa apate neck support na kwao hawako ok at the moment...
1 Reactions
4 Replies
322 Views
Fenesi: Ulijua kuwa tunda hili linaweza kutibu aina tatu ya saratani na maradhi ya moyo? Fenesi au kwa jina la kisayansi (Artocarpus heterophyllus) ni tunda la kitropiki ambalo hukua Asia, Afrika...
1 Reactions
1 Replies
860 Views
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh, Shalom. Bismillah rahman rahim. Kitani hutibu magonjwa haya; -Uvimbe wa tumbo la chakula, -Kujaa Gesi Tumboni, -Vidonda vya tumbo, -Maambukizi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain. Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Ni 23 yrs natarajia kuanza kutafuta mtoto lkn nimekuwa Kuna hisia zinanifanya nipate wasiwasi juu ya kiumbe nitakaemleta duniani..swali je can the ugly parents have beautiful babies?..sikuamini...
8 Reactions
23 Replies
955 Views
Ni zaidi ya Miaka 10 sasa naona hizi Product zao lakini nimekuwa naogopa sana kuzitumia. Naomba ushuhuda kwa mliowahi kuzitumia kama ziliwasaidia? Na Je zimethibitishwa na Mamlaka husika?
2 Reactions
56 Replies
2K Views
Mambo vipi humu ndani aisee sijui ugonjwa gani huu umenipata yaani ikifika mida ya kulala kuanzia saa 3 usiku ngozi ya mwili mzima Inawasha balaa Hadi kupelekea kujikuna Kuna ovyo usiku kucha...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu nina passion na mazoezi.
4 Reactions
66 Replies
2K Views
Wakuu nawapa mrejesho wa shida zangu baada Jana usiku kichwa kuuma sana katikati ya utosi...nkaenda pima dispensary nkaambiwa nna UTI25 na hypoid Leo nkaamkia mloganzila kwenye clinic yangu ya...
2 Reactions
3 Replies
405 Views
Most of the widely used HIV test kits are based on technology that detects HIV antibody in blood or serum, this comes with certain drawbacks one of it being it cant detect presence of HIV...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mara moja moja ukiamka asubuhi utakuta vialama vya udenda..(Kidogo) Hii ni kawaida.. Ikitokea ukilala unatoa udenda mwingi kupita kiasi huenda shida ikawa ni:- -Unazalisha mate mengi hasa...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Habar wakuu naomba msaada wenu kwa mara yakwanza tangu nizaliwe Leo usiku huu ghafla kichwa kimeniuma sanaaa katikati ya utosi. Nimekimbilia dispensary nimepimwa Sukari Iko 4.7,presha 125/76pr...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba kujua dawa ya vidonda nje ya mdomo yaan kwenye lips.. Kuna jamaa angu kababuka mdomo wa chini,,afu mda mwingne hutengeneza utando mweupe,, Hali iko ivo jamaa anahangaika...
1 Reactions
65 Replies
12K Views
Ndugu zanguni naumwa sana na spinal cord (hiki ni kinyama kinachofunikwa na uti wa mgongo upande wa nyuma kinaanzia shingoni hadi kiunoni) Mimi panaponiuma sehemu mkabara na kifua (maumivu...
4 Reactions
143 Replies
6K Views
Kula Lishe Bora: Hakikisha mlo wako unajumuisha mboga, matunda, nafaka nzima, na protini yenye afya. Punguza matumizi ya vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, na chumvi.
1 Reactions
0 Replies
385 Views
Ni kama wiki hivi sina hamu ya tendo la ndoa, wala nikiamka asubuhi sioni kama mshedede unasimama! Nikawa najiuliza nimepatww na nini? yaan unakuta kanyamakazi kamesinyaaw😳…. Sasa juzi homa...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Back
Top Bottom