Wanajf wenzangu poleni na majukumu ya hapa na pale..............Ni hivi kwa yeyote anayefahamu faida za matango(pori na ya kisasa) na malimao katika miili yetu sisi wanadamu..Msaada tafadhali...
Jaman wanajamv naomba kuulza et mwanaume asipofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna madhara yoyote anayoweza kuyapata maana kuna watu wanadai et anaweza kupoteza nguvu za kiume au zikapungua?
ni muda mfupi tu tuko kwenye ndoa na huwa tunashirikiana tendo effectivelly! juzi mke wangu aliona matone machache ya damu mithiri ya hedhi lakini muda wa hedhi ulishapita na alipata hedhi. Pia...
Najamani naomba kujuzwa kama kuna madhara yoyote mwilini kwa kutumia body spray perfumes na deodorant. Kuna nyingine ukijipulizia mwilini unahisi kama mwili unawaka moto.
Wakuu naomba kujuzwa kama kutumia body spray perfumes na deodorant kuna madhara mwilini. Maana kuna nyingine ukijipulizia mwilini, unajisi kama mwili unawaka moto.
Hii ni habari njema kwa watu wanaoishi na VVU na jamii kwa ujumla:
Matokeo ya tafiti mbalimbali zilizofanyika Afrika na sehemu zingine duniani zimethibitisha kuwa kuna uwezekano wa zaidi ya...
Habari.naomben ushaur wenu.dada yangu anasumbuliwa na matiti yaan yamekuwa na makubwa na yanatoka maziwa kabisa ila sio mengi sana.tatizo ni kwamba amepiwa ujauzito mara 4 ktk hospital tofauti lkn...
Wandugu kupitia jukwaa hili naomba kuuliza kama hii hali inayojitokeza kwangu ni tatizo au la.. Mm ni mwanamme umr miaka 31 ni kwamba nimekua na takriban miez miwil na zaid bila kua na hamu hata...
More than one billion are at risk of contracting the debilitating and disfiguring ailment, elephantiasis. Infection is rampant in parts of Africa and Asia, but as Rachel Smalley reports for VOA...
eti ni salama (for hydration) kama umekosa maji ukiwa porini. Hivyo ndivyo anashauri Bear Gryll wa Discovery Channel: Bear Grylls drinks his own urine (Kimberlies, Australia) - YouTube
Je, hao...
Ndg zangu, ni muda sasa nasumbuliwa na tumbo, nimekwenda kwenye vituo vya afya na hospitali pia, kote huko naambiwa nipeleke mavi (choo) wakapime. Kila nikifanya hicho kipimo naambiwa hawajaona...
Matokeo ya utafiti uliofanywa nchini Marekani na maabara ya Centre for Science in the Public Interest (CSPI) yanaonesha moja ya viungo vinavyotumika kutengenezea Coca-cola na Pepsi kiitwacho...
Habari zenu wana JF,
Katika miezi ya karibuni nimekuwa nina tatizo la kukoroma sana na kwa sauti kubwa mpaka kero kwa majirani.
situmii kilevi chochote vilevile uzito wangu ni wa kawaida!je tatizo...
[ Dawa ya jino kung'oa tuu.]The Relationship Between Root Canals
and Cancer
The Relationship Between Root Canals and Cancer When a person in the United States has a...
Kuna ndgu yang nna lala nae yana ndan yake kunamingurumo mikubwa mfano wa kubeua lakn habeui yan waweza kaa nae likaanza bonge la mngurumo af anajpgapga kfuan iv matatzo/tatzo laweza kuwa nn mr...
Jamani nina tatizo la kupata usingizi kupita kiasi.Nikiwa hata kwenye foleni najishtukia nimesinzia kwenye usukani.Nikifika nyumbani ni kulala tu.Nisaidieni tafadhali!