Ukweli ni huu.......! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli ni huu.......!

Discussion in 'JF Doctor' started by Evelyn Salt, Mar 15, 2012.

 1. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,042
  Likes Received: 31,832
  Trophy Points: 280
  Habari wana forum, nasikitishwa na watu wanaosema kutokwa na haja kubwa wakati wa kujifungua ni sababu ya kutumia tigo, hii si ukweli bali hiyo hutokea rectum ikiwa na uchafu huo na mtoto anaposhuka anapush hiyo kitu na si kama watu wasemavyo.........
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Tupe chanzo.
   
 3. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hili tatizo ni kubwa kiasi gani?Una takwimu mfano kati ya kumi ni wangapi?
   
 4. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Samahani wachangiaji, kuna kitu kimenipita katika sentensi hii: "kutokwa na haja kubwa wakati wa kujifungua ni sababu ya kutumia tigo".

  Hapa TIGO imetumika kumaanisha nini?

  Samahani ndugu zangu wapendwa, humu JF tumechanganyikana kwelikweli! Wengine tulizowea viswahili vya 1960s. Hivi viswahili vyenu vya siku hizi wakati mwingine vinatusumbua.

  Haya...: TIGO imetumikaje hapo?
   
 5. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hehhe pole mzee,Tigo ni goti..yani kwenda kimenyu-menyu
   
 6. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sipendi niitwe kutoa ushahidi, lakini ninawafahamu wasichana kadhaa ambao kabla ya kuolewa waliliwa tigo kwa sana, na walipoingia kwenye ndoa walizaa bila hilo tatizo la kutoka kinyesi kwenye haja kubwa. Labda wanaosema tigo inasababisha tatizo hilo na wenyewe watupe ushahidi wao.
   
 7. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,042
  Likes Received: 31,832
  Trophy Points: 280
  Niliongea na daktari flani akanieleza juu ya hilo,kama hakuna uchafu ktk rectum hiyo kitu haitokei na kama kuna uchafu probably lazma utoke b4v mtoto hajatoka
   
 8. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,042
  Likes Received: 31,832
  Trophy Points: 280
  kufanya mapenzi kinyume na maumbile.....
   
 9. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,042
  Likes Received: 31,832
  Trophy Points: 280
  hili si tatizo ni hali ya kawaida hutokea bt people wanapotosha kwa kuihusisha na utumiaji wa tigo
   
 10. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hapa umemchanganya kabisa
   
 11. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ni kweli hii ni normal especial kwa wanaojifungua kwa mara ya kwanza
   
Loading...