Kunywa mkojo wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunywa mkojo wako

Discussion in 'JF Doctor' started by Homer, Mar 14, 2012.

 1. H

  Homer Senior Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 2. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wahindi wana urine therapy, unakunywa mkojo wako wa asubuhi (kila siku nafikiri), mambo yako yanakua safi. Google utaipata kwa kirefu
   
 3. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hao wanajiongelea tu,Mkojo wa bia unajua wewe?halafu ukutane na ule ambao mlevi mwenyewe huwa hanywi maji..
   
 4. H

  Homer Senior Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimeiona kwenye wikipedia: 'amaroli' Urine therapy - Wikipedia, the free encyclopedia

  Huu ni ujinga, full stop. Ukisoma sana maelezo yao unaweza ukawaamini hivi hivi ...
  Lakini kimtokacho mtu ni najisi ...as always.
   
 5. H

  Homer Senior Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umenikumbusha London ya zamani " alcohol was safer to drink than the water". I suppose it's still true kama unasafari za vijijini na mikoani kwenye uhaba wa maji safi?
   
 6. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkojo wa wabongo full ma UTI
   
 7. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwani mkojo wa watu wa mataifa mengine umejaa asali?
   
 8. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  hata mlevi anywe mkojo weke? mmh.....
   
 9. JS

  JS JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuna wakati utafika watu wataambiwa wale visivyofaa vinavyotokana na miili yao kwa sababu tu ni therapy au dawa ya ugonjwa sugu
   
Loading...