Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 369 Mar 14, 2012 #1 hodi JF doc,nimetegua shingo baada ya kuilalia vby,msaada tafadhali.
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,113 Reaction score 34,953 Mar 15, 2012 #2 Jipake Mafuta ya zaituni kwenye shingo yako. kisha Weka mkono wako juu ya sehemu inayokuuma na kisha useme maneno haya ''Kwa jina la Mwenyeezi Mungu'' Sema hivyo mara 3 Kisha Sema hivi mara 7 . Najilinda kwa Mwenyezi Mungu na kwa uwezo wake kutokana na shari ya ninachokisikia na ninachokiogopa Soma na pakaa hiyo Dawa kutwa mara 3 kwa muda wa siku 3 kisha unipe Feedback.
Jipake Mafuta ya zaituni kwenye shingo yako. kisha Weka mkono wako juu ya sehemu inayokuuma na kisha useme maneno haya ''Kwa jina la Mwenyeezi Mungu'' Sema hivyo mara 3 Kisha Sema hivi mara 7 . Najilinda kwa Mwenyezi Mungu na kwa uwezo wake kutokana na shari ya ninachokisikia na ninachokiogopa Soma na pakaa hiyo Dawa kutwa mara 3 kwa muda wa siku 3 kisha unipe Feedback.