Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Matibabu ya Nairat Written by Stonetown (Kiongozi) // 10/09/2012 // Habari // No comments ASALAMU ALAYKUM. WAKATI tunaendelea kukusanya michango ya watoto wetu Nairat na Bisambe ambao...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
wana jf nisaidieni kwahili nasikia wanawake walio tahiriwa hawana kabisa hamu ya tendo na hawafiki kileleni kabisa sababu ilesehemu yenye kufanya kazi hiyo huwa imeondolewa. nakwamba eti kuna...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Jamani yapata miezi 8 sasa kuna halufu mbaya nahisi ni makasi yameozeana kwenye njia ya hewa, Nakumbuka jinsi tatizo lilivyoanza,nilipata mafua nikameza codril kidonge 1 tu mafua yakawa kama...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
nini cha kufanya kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
for your order please inbox only for 120,000TSH About L-Arginine L-Arginine is an amino acid that's so potent, scientists refer to it as the "Miracle Molecule." And for good reason, because our...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanasanyansi katika chuo kikuu cha Saskatchewan cha nchini Canada wamesema ya kwamba manii(semen) yanayotolewa na mwanamume wakati wa kujamiana na mwanamke yanasaidia mwanamke kuwa na uwezo wa...
0 Reactions
5 Replies
14K Views
Guava. It's high in fibre and also has a higher concentration of lycopene - an antioxidant that fights prostate cancer - than any other plant food. Eat the rind, too: it contains more vitamin C...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani hvi naeza kutumia kitu gani kinachoweza kupunguza kutoka jasho la kwapa?coz nina tatizo hili japo jasho lenyewe halitoi harufu na hali hii haijalishi niko kwenye joto ama sehemu ya barid...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Tafadhali nisaidieni jamani. Nina uvimbe puani kwa muda wa miaka 3 hasa Shimo la kulia la pua yangu. Huu uvimbe ndani ya siku moja unaweza badilika hadi mara tatu. yaani kuna muda unaziba pua...
0 Reactions
8 Replies
15K Views
Kati ya mambo ambayo watu wengi hawatilii maanani sana ni unywaji wa pombe wakati wa ujauzito. Nimekuwa nikiwaona akina mama wajawazito wengi wakinywa pombe kwenye sehemu za starehe na sherehe...
0 Reactions
0 Replies
16K Views
TSH 40,000 need your orders Top 10 Reasons Behind Drinking Aloe Vera Gel Just imagine slicing open an Aloe Vera leaf and drinking the gel of Aloe Vera straightly from the plant of our firm...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna ukwel wowote juu ya kifaa cha handsome up? Na zip n negative effects zinazotokana na utumiaj wa kifaa hcho?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asalamu Alaykum. Naomba nilete hii makala muisome muone jinsi maradhi yanavyowatesa viumbe wa Mungu, Mwenyeenzi Mungu Mkubwa mtoto anateseka anasikitisha na kuhuzunisha na huwezi kutupa jicho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii kwa wenzetu una kesi ya kujibu na hutapata pakutokea
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niliambiwa mafua hayana dawa nimejaribu vumilia ila sasa ni wiki ya tatu nimeamua kumeza piriton doz ya 1mara2 kuna njia nyingine naweza fanya kwa sasa hali ya hewa pia ni barid nayo nadhani...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Naam! bila shaka itagusa wengi hii, Edmark Café Ginseng Coffee Made from the natural blend of the finest Arabica coffee beans from Brazil and Columbia and Korean Ginseng extract. The active...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha State University cha Jijini New York nchini Marekani umesema ya kwamba manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo.Pia watafiti hao wamesema...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
kuna dawa ya kusafishia maji kama ilivyo water guard,inaitwa shabu,nimeona mtu anatumia kwenye jicho,lilikuwa limetengeneza ukungu,kwa mujibu wake inamsaidia,vp wataalamu,kweli hii ni dawa ya jicho?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Methamphetamine, like many other illicit drugs can harm your teeth fairly rapidly. Back in September, I wrote an article entitledSeven Ways Crystal Methamphetamine Ruins Your Teeth. That article...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba kama kuna yeyote anaejua dawa ya kuzuia jino kutobolewa na wadudu kwani sasa jino limeanza kutoboka na nipigapo mswaki lazima damu itoke..nitumie dawa gani??
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Back
Top Bottom